Dada mmoja jirani yangu ni mfanyabiashara wa kuwahi soko mapema.Sisi tukisikia adhana twajitayarisha kwenda msikitini na yeye tunakutana njiani anawahi sokoni.Anajua akisikia adhana ni muda wa watu wema kuingia barabarani na vibaka kupumzika.Dah ...wengine hiyo ndiyo hutuamsha asubuhi "tupashe" [emoji2960]
Hizo dk 4 ni kero kubwa sana.Adhana hua inachukua muda gani? Sidhani hata kama inafika dakika 4
Vipi kuhusu makelele yanayopigwa kwenye ma Bar?
Kama hutaki makelele nenda ukaishi peke yako huko porini,kelele ni dalili ya uhai na haziepukiki.
Kelele ni sauti unazosikia halafu huzihitaji.Nadhani adhana haiwezi kuingia kwenye kundi la makelele.Sijui kamusi la kiswahili linasemaje lakini naona kama makelele ni maneno yasiyo na mpangilio maalum wala faida yoyote kwa anayesikiliza.
Kabisa.Noise Pollution.
Safi sana
Mungu anatuhurumia sana waja wake,na sisi ni muhimu kuzinduka kwa hilo na kuhurumiana wenyewe kwa wenyewe.Adhana imeletwa ili iwe ni ukumbusho wa mtu kwenda kuswali,ipo fupi tu na maneno yenye maana kubwa na kwa sauti nzuri,Inarudiwa mara kwa mara ili iwe ushahidi kwamba ulikumbushwa ili litakalokukuta huko mbele ujilaumu mwenyewe na si kumlaumu Mungu wala majirani zako.Huko mbele kuna hali ngumu sana kwa aliyedharau mwito.Hizo dk 4 ni kero kubwa sana.
Kama unajua muda wa kwenda kuswali, usisubiri uitwe na adhana.
Weka alarm.
Wanaoishi katika miji yenye viwanja vya ndege,kila baada ya saa ,hupita ndege,nao waseme vipi,muhimu ni kuvumiliana.Hizo dk 4 ni kero kubwa sana.
Kama unajua muda wa kwenda kuswali, usisubiri uitwe na adhana.
Weka alarm.
Kwa enzi hizi za Teknolojia adhana hazina Tena umuhimu huo, Ni Kama kutegemea jogoo akuamshe, wakati Kuna simu za Bei rahisi unaweka alarm muda wowote unaotakaDada mmoja jirani yangu ni mfanyabiashara wa kuwahi soko mapema.Sisi tukisikia adhana twajitayarisha kwenda msikitini na yeye tunakutana njiani anawahi sokoni.Anajua akisikia adhana ni muda wa watu wema kuingia barabarani na vibaka kupumzika.
Hii dhana ya kwenda na teknolojia kwa kila jambo haiko sawa.Ziko teknolojia nyingi za kizamani ambazo wala hazitapitwa na muda wake. Na ziko teknolojia za kisasa zina madhara makubwa na wala hazina ulazima.Mfano ni hiyo alarm kuchukua nafasi ya adhana.Kwanza kwa madhumuni ya adhana alarm haihitajika na pili alarm inaumiza mishipa ya fahamu na inaweza ikaleta ugonjwa wa moyo ikiwa itatumika kila siku.Gari moshi au treni ni teknolojia ya zamani lakini kila siku zinavyokwenda mbele nchi nyingi zimeona ni suluhisho la usafiri kwenye miji mikubwa.Kwa enzi hizi za Teknolojia adhana hazina Tena umuhimu huo, Ni Kama kutegemea jogoo akuamshe, wakati Kuna simu za Bei rahisi unaweka alarm muda wowote unaotaka
SanaaaNyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija.
Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje.
Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia.
Hii tabia ikome.
Mimi nikikaa sehemu haina adhana naonaga short kabisa kama sipo Tanzania...waache watu waitane kwenye ibada zao
Hizo dk 4 ni kero kubwa sana.
Kama unajua muda wa kwenda kuswali, usisubiri uitwe na adhana.
Weka alarm.
Kelele za bar hazikuzingui?Safi sana hizo adhana zinazingua sana..
Mbona unaji-quote jombaa... Halafu unajijibu mwenyewe!Kweli kabisa.