Muju4 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5,489 Reaction score 7,446 Apr 22, 2022 #41 Bavaria said: Nyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija. Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje. Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia. Hii tabia ikome. Click to expand... Hiki ni kiburi cha uzima, kuna siku cheo/nafasi uliyonayo havitaweza kukuokoa na utamgeukia Mungu akuokoe.
Bavaria said: Nyumba za ibada zisiwe chanzo cha kelele zisizo na tija. Wafunge maspika yao ndani na kelele zisitoke nje. Utakuta kanisa moja linapiga kelele mtaa mzima au msikiti mmoja wanapiga kelele mpaka mtaa wa 3 unasikia. Hii tabia ikome. Click to expand... Hiki ni kiburi cha uzima, kuna siku cheo/nafasi uliyonayo havitaweza kukuokoa na utamgeukia Mungu akuokoe.