ile ni ziara ya kushtukiza...kwa hiyo kaa kwa kutulia mkuuWakuu habari za humu? Ni matumaini yangu wote hamjambo.
Leo nlikuwa napitia taarifa mbalimbali kwenye kiswaswadu changu nikakutana na taarifa ya mama kwenda kwa madiba hii leo. Kwakweli mapokezi yale sijayapenda,yaani haiwezeknai rais wa nchi anapkelewa na balozi wa nchi yetu hukohuko tena bila hata mwenyeji yoyote! . kwakweli kama ni dharau wasauzi mmetuonesha na binafsi sihapenda kabisa kwasababu raisi ni mtu mkubwa sana akiwa popote pale kwenye maswala ya kiitifaki na kiutawala.
Mkuu bora huyo alipokelewa na waziri lakini mama yetu amepokelewa na balozi wa Tanzania nchini humo pamoja na waziri wa mambo ya nje wa Tanzania,yaani kiufupi mgeni amepokelewa na mgeniWrite your reply...WAPI SHDA HAPO..mbona jk alishawahi kupokelewa na waziri usa
Umeielewa post vizuri ndugu mwandishi?Write your reply...WAPI SHDA HAPO..mbona jk alishawahi kupokelewa na waziri usa
Kiitifaki kuna safari za wakuu wa nchi za aina nyingi.Wakuu habari za humu? Ni matumaini yangu wote hamjambo.
Leo nlikuwa napitia taarifa mbalimbali kwenye kiswaswadu changu nikakutana na taarifa ya mama kwenda kwa madiba hii leo. Kwakweli mapokezi yale sijayapenda,yaani haiwezeknai rais wa nchi anapkelewa na balozi wa nchi yetu hukohuko tena bila hata mwenyeji yoyote! . kwakweli kama ni dharau wasauzi mmetuonesha na binafsi sihapenda kabisa kwasababu raisi ni mtu mkubwa sana akiwa popote pale kwenye maswala ya kiitifaki na kiutawala.
Kabisa tena hilo ni swala la kawaida mambo ya hovyo yasiyo na tija kama semina hafla birthday party kwenye awamu hii.Ziara za hovyo zisizokuwa na umuhimu wala tija. Sasa kuhudhuria mikutano ya gesi ya ukaa umesikia Tanzania imekuwa industrial country kwamba ina chafua hewa?! Ndiyo maana kaishia kupokelewa na balozi wake πππππ kwahiyo unadhani anaweza kwenda huko bila sababu