Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Ziara ya kushtukiza nchi ya watu?ile ni ziara ya kushtukiza...kwa hiyo kaa kwa kutulia mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ziara ya kushtukiza nchi ya watu?ile ni ziara ya kushtukiza...kwa hiyo kaa kwa kutulia mkuu
Swali hilooKwanza kaenda kufuata nini huko? Wakati huo kuna mambo mengi ya muhimu kushughulikia nyumbani kwake?
Kilichoniuma ni hiyo ndege kuchana mawingu kilomita zoote hizo(sijui hata ni ngapi) halafu inapokelwa na wageni tena😎😎😎Kabisa tena hilo ni swala la kawaida mambo ya hovyo yasiyo na tija kama semina hafla birthday party kwenye awamu hii.Ziara za hovyo zisizokuwa na umuhimu wala tija. Sasa kuhudhuria mikutano ya gesi ya ukaa umesikia Tanzania imekuwa industrial country kwamba ina chafua hewa?! Ndiyo maana kaishia kupokelewa na balozi wake 😂
ile ni ziara ya kushtukiza...kwa hiyo kaa kwa kutulia mkuu
Mama anajua kupendeza.
picha inaleta aibu!
Kwahyo serikali ya SA inawajibika kwenye issues gan kama rais wa nchi yupo kwenye nchi yao informally? (naweza kusema hivyo)Kiitifaki kuna safari za wakuu wa nchi za aina nyingi.
Kuna state visit (formal, by invitation), kuna working visit. Zote zina itifaki tofauti.
Sasa, kabla ya kuanza kulaumu wa South Africa, inabidi tuulize, hii ni state visit au working visit?
![]()
Trump won't get the VIP treatment on UK trip, but what's the difference between a state visit and working visit?
The UK will welcome US President Donald Trump later this year, but a State Visit is off the cards. What is a State Visit and what will Trump get instead?www.verdict.co.uk
Nchi inawajibika kwa usalama wa rais kwa mfano, kwa sababu huyo ni rais.Kwahyo serikali ya SA inawajibika kwenye issues gan kama rais wa nchi yupo kwenye nchi yao informally? (naweza kusema hivyo)
wewe mbona unakuwa na kiherehere kila unapoona habari za mwendazakeNina mashaka pengine wewe ni Suphian, umekuwa na kiherehere sana kila unapoona habari kumuhusu SSH.
Nashukuru kwa kuungana na mimi. TBC wanacho cha kujifunza kuhusu wageni wanaokuja hapa nchini hasa maraisi,yaani huwa tunakosa hata vipindi vya muhim kwahyo wajifunze kwamba hao wageni ni watu wa kupita tuRelax mtoa hoja,kama ni ujinga utaelimika ila kama ni upumbavu I can't help, hii ni normal protocol, our president amepokewa na SA Foreign Minister (Mrs Naledi Pandor, yupo very straight waziri huyu),ila our President atakapokwenda Union Bulding lazima atapokea na President CR, nothing wrong hapa mkuu, ila ninaungana nawe Nami nikiwa huku lingusenguse nafuatilia media za SA ni chache sana zinatangaza ziara hii,news 24 hawana kabisa Habari za Ujio huo