Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Afrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi
Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha wakadha ikiwemo Vul’indlela na Weekend special Mwanamuziki huyu alizaliwa tarehe 3/11/1964 na alifariki 9/5/2004.
Swali langu;
Je, Tanzania yetu hii kulikuwa au kuna msaanii gani mbaye anaweza kuenziwa kwa heshima ya namna hii kama Brenda Fassie?