FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Ni kweli nyimbo za Marijani ni kwenye tungo zaidi ukilinganisha na za Mwinshehe...pia nadhani ni bahati mbaya sana Mwinshehe alituacha mapema sana jukwaa likabaki kwa Marijani kwa muda mrefu.Mwishehe alikuwa na sauti tamu sana kusikiliza Marijan alikuwa na mashairi kuntu (alikuwa anajua sana mziki)