Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Mwishehe alikuwa na sauti tamu sana kusikiliza Marijan alikuwa na mashairi kuntu (alikuwa anajua sana mziki)
Ni kweli nyimbo za Marijani ni kwenye tungo zaidi ukilinganisha na za Mwinshehe...pia nadhani ni bahati mbaya sana Mwinshehe alituacha mapema sana jukwaa likabaki kwa Marijani kwa muda mrefu.
 
Hebu sikiliza Mbiliabel, Yvonne Chakachaka nyimbo zao hata ukiweka msibani watu watatikisa vichwa...

Lazima tukubali starehe na vitu vizuri vilikuwa zamani sio sasa.
Kila watu huwa wanahisi muziki wa kizazi chao sio mzuri hata Diamond atakuja kuenziwa na watu wa kizazi kijacho
 
Kweli Wew Mtoto wa 2000's Yaan Hao panya uwaweke unamwacha Juma kilaza, mbaraka mwishee, wakina gurumo wakina TX moshi William na WENGNE kibao hebu acha zarau basi
Na kama tutapiga kura vijana ni wengi kuliko wazee..
Tunaweza kupata maona ya nchi za kusini, magharibi, kaskazini na hata nnje ya Africa ni mwanamuziki gani wa Tanzania wanamjua zaidi hapo tutapata majibu kama ni Marijani, Mwinshehe au Diamond kama tunaangalia kuitangaza nchi kama kigezo kikuu
 
Wengi tu aisee akina Gurumo, Dede na wengine wengi.

Afrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi

Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha wakadha ikiwemo Vul’indlela na Weekend special Mwanamuziki huyu alizaliwa tarehe 3/11/1964 na alifariki 9/5/2004.

View attachment 623278

Swali langu;
Je, Tanzania yetu hii kuliwa au kuna msaanii gani mbaye anaweza kuenziwa kwa heshima ya namna hii kama Brenda Fassie?
 
Mkuu siku hizi wanatunga ili kupata hela, hawaangalii mbali. Wanatunga wanaweka maneno kadhaa ila maudhui yao yanakuwa madogo sana, tofauti na zamani. Nyimbo nyingi zamani zilikuwa ni burudani na kufundisha
Muziki unategemea na wasikilizaji wanataka nini kama wanataka kufundishwa au wanataka kuburudika.
Wengi wa wasikilizaji wa muziki wanahitaji burudani zaidi kuliko elimu elimu kinakua ni kitu cha pili.
Muziki ni kuanzia beat yake kama ni nzuri watu wataburudika hata kama hawajui umeimba nini
 
Mbaraka mwinshee, marijani rajabu na mama lao asiyechuja komando jide
 
Hila ningekua ni mzaliwa wa South Africa ningependekeza lucky dube aisee
 
Yaani nazaliwa namkuta jide kwenye game. Na sasa hv nazeeka bado yupo kwenye game.
Lady jay dee
 
Afrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi

Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha wakadha ikiwemo Vul’indlela na Weekend special Mwanamuziki huyu alizaliwa tarehe 3/11/1964 na alifariki 9/5/2004.

View attachment 623278

Swali langu;
Je, Tanzania yetu hii kuliwa au kuna msaanii gani mbaye anaweza kuenziwa kwa heshima ya namna hii kama Brenda Fassie?
STEVE NYERERE
 
Back
Top Bottom