Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Hata sisi pia tunaweza kumuenzi pia Brenda Fassie, alikuwa anaongea na kutuwalikisha sisi wote Waafrica. She is one of the greatest african sisters. She represent the best of us.



Nakupenda, nakuwaza
 
Diamond Platinum only.. Tatizo ni rekodi ya tabia yake tu.. Breda was clean if my records are clear..

Cc Heaven Sent espy
Fuatilia vizuri record yake kaka shida ya watanzania tunaangalia maisha ya mtu ingekuwa hivyo duniani huko yule msenge elton asingepewa sifa ya sir wanachoangalia wenzetu ni achievement kwenye carrier yake na character yake nje ya kazi
 
Afrika Kusini imetengeneza sanamu ya mwanamuziki Brenda Fassie na kuiweka nje ya jumba la makumbusho, ili kumuenzi

Brenda Fassie ni mwanamuziki aliyetamba sana nchini South Africa na vibao kadha wakadha ikiwemo Vul’indlela na Weekend special Mwanamuziki huyu alizaliwa tarehe 3/11/1964 na alifariki 9/5/2004.

View attachment 623278

Swali langu;
Je, Tanzania yetu hii kuliwa au kuna msaanii gani mbaye anaweza kuenziwa kwa heshima ya namna hii kama Brenda Fassie?
Mange kimambi
 
Hahaha naona mnatililika tu.

Kwanini msitengeneze sanamu la OMARION5 [emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom