Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Afrika kusini wamtengenezea Brenda Fassie Sanamu ili kumuenzi, Tanzania inaweza kumtendea Msanii gani jambo hili?

Wapigiwe kura kati ya ma legend hawa wawili, Mbaraka Mwinshehe na Marijani Rajabu.
Na huwezi pata mshindi kati ya hawa,wote walikuwa malejendari haswaa.

Yaan ukimsikiliza marijani rajab unasema huyu ndo meenyewe ukigeuka upande wa pili ukimsikia mbaraka mwishehe unasema mwanamuziki si ndo huyu yaaan huwezi chagua mmoja kati ya hawa.
 
Lakini bado hali sio mbaya kihivyo jamani, hebu usinibanie bwana. We huoni hadi na Dubai mwataka kwenda!!
Sasa bi mkubwa huo umbeya sasa hahaha.. Hapo namdanganya danganya tu mtoto aingie line
 
Sasa bi mkubwa huo umbeya sasa hahaha.. Hapo namdanganya danganya tu mtoto aingie line
Anafunga ndoa wiki ijayo alafu unamrubuni!! Kweli bora muishi tu kama mashetani ili watoto wetu wabaki salama.
 
Magwair kwa sisi wa Dodoma tunamheshimu sana aliweza kujitambulisha na kuitambulisha Dodoma wakati ambao hakuna msanii aliyeweza kuitaja Dodoma.
 
Back
Top Bottom