Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Yaani umeniwahiMbaraka Mwishehe
fm academia
Wanaongelea wanamuzikiSteven kanumba ni mtu wa kuigwa Tanzania bado sijaona mfano wake jamaa akikuwa anakipaji
Umefika mikoa mingapi hapa nchini?Kila mkoa ulitakiwa uwe na sanamu yake ya watu wanapenziwa, nashangaa sanamu ya Nyerere nmeiona Tanga na Dodoma tu, Yani kwa wenzetu sanamu za watu mashuhuri zipo almost kila mtaa.
Aliifanyia nn nchi yake?Steven kanumba ni mtu wa kuigwa Tanzania bado sijaona mfano wake jamaa akikuwa anakipaji