#COVID19 Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

#COVID19 Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal.
-
Ameeleza kuwa nchi ilirekodi visa vya maambukizi 6,000 siku ya Aprili 27, na Aprili 28, idadi ilipungua hadi 4000. Idadi ya visa vitakavyo rekodiwa ndani ya juma lijalo vitaonyesha kama nchi hiyo imeingia katika wimbi la tano endapo watarekodi zaidi ya visa 6,237 kwa siku 7 mfululizo

Phaahla alisema kiwango cha wanaoambukizwa nchini humo kinasalia juu sana kwa asilimia 17, akiongeza kuwa idadi ya wagonjwa waliolazwa na vifo haijaongezeka kwa kiasi kikubwa

....

Speaking during a virtual media briefing on Friday morning, Minister of Health Dr Joe Phaahla said the Department of Health have noticed a rise in Covid-19 infections over the last two weeks, especially in Gauteng, Western Cape and KwaZulu-Natal.

“As of yesterday, Gauteng alone accounted for 53% of positive cases, KZN 23% and Western Cape 11%,” Phaahla said.

He said the country reached 6 000 Covid infections on Wednesday, and while there was a slight decline to just over 4 000 Covid-19 infections on Thursday, this could be due to the public holiday on Wednesday that saw fewer people testing.

Phaahla said the country’s positivity rate remains quite high at 17%, adding this is the first time South Africa is seeing a resurgence in infections since ending the National State of Disaster.

The positivity rate in Gauteng and KwaZulu-Natal, however, are at a slightly higher rate of 20%.

Chanzo: The Citizen
 
Naona news za kufufua Ile hofu ya koona zinarudi!
Jamani hatujafikia Tu level za herd immunity, eti wataalam wanasemaje!?
Tuchanjwe tuchanjwe na dozi za wimbi la kwanza, au tufanyeje!

Namshukuru Mrusi Kwa kutuhamisha kwenye breaking news za Corona!
 
Back
Top Bottom