Afrika Kusini yamfutia Uraia Chidimma

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Afrika Kusini imetangaza kuondoa hati za utambulisho wa uraia wa Chidimma na Mama yake Oktoba 29 2024, kutokana na kushindwa kutoa maelezo ya kwanini wabaki na hati hizo kufikia Oktoba 28, 2024

Uchunguzi dhidi ya Chidimma ulianza baada ya kuwa mshiriki wa fainali ya shindano la "Miss South Africa" na kukabiliwa na madai kuhusu uhalali wa uraia wake

Wizara imesema kesi hiyo imepelekwa kwa Hawks, kitengo maalum cha Polisi kinachochunguza uhalifu ambacho kimebaini ni "kesi ya udanganyifu,"

Aidha, Chidima alishinda Miss Universe Nigeria na hivyo ataiwakilisha Nchi hiyo katika Mashindano ya Kimataifa ya Miss Universe Nchini Mexico, Novemba 16, 2024

Ikumbukwe hapo awali raia wa Afrika Kusini walizua mjadala mtandaoni na kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni baada ya kutaka kuwania taji la "Miss South Africa" kwa madai kuwa sio raia wa Afrika Kusini bali ni Mnaigeria

============For English Audience===================

South Africa to strip Beauty queen Chidimma Adetshina of ID documents

The Department of Home Affairs began investigating her case after she became a finalist in the Miss South Africa pageant, but faced criticism as people questioned her eligibility to compete because her mother has Mozambican roots and her father is Nigerian.

The Department of Home Affairs made the announcement about the withdrawal of her ID papers to a parliamentary committee on Tuesday.

Tommy Makhode, the top civil servant at the department, said Ms Adetshina’s mother would also have her documents cancelled as they had both failed to meet Monday’s deadline to provide reasons why they should be eligible to keep them.

Mr Makhode said the case had been referred to the Hawks, a special police unit that investigates serious crimes, which had concluded that it was a "case of fraud" - and officials were awaiting on prosecutors about how to proceed.

SOURCE: BBC
 
Yaani alishinda Nigeria afu akaenda south Tena akataka kushinda?? Simba la masimba dangote enzi zake alipita sana na mamiss angemuona huyu angemsangalatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…