Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036.
Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics.
Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano mikubwa ya Kombe la Dunia ambayo ilikuwa ni kwa mara ya kwanza inafanyika katika ardhi ya Afrika.
Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics.