Afrika Kusini yaomba kuwa mwenyeji wa michuano ya Olympics mwaka 2036

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036.

Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics.
Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano mikubwa ya Kombe la Dunia ambayo ilikuwa ni kwa mara ya kwanza inafanyika katika ardhi ya Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…