Afrika Kusini yarekodi Maambukizi mapya 10,017

Afrika Kusini yarekodi Maambukizi mapya 10,017

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Afrika Kusini imerekodi Maambukizi mapya 10,017 ikiwa ni mara ya kwanza Taifa hilo linaripoti Visa vipya zaidi ya 10,000 tangu Januari. Tayari Mamlaka zilishaonya kuhusu Wimbi la Tano la Maambukizi

Nchi hiyo imerekodi Visa na Vifo vingi zaidi barani Afrika, na Wataalamu wanakadiria Wimbi la Tano linaweza kuanza Mei au Juni. 45% ya Wananchi wamepata Chanjo kamili na takriban 50% wamepata angalau Dozi moja ya Chanjo dhidi ya Virusi vya Corona

=======

South Africa's National Institute for Communicable Diseases on Wednesday reported 10,017 new COVID-19 cases, the first day since January the institute has reported more than 10,000 new infections.

Health authorities have warned South Africa may be entering a fifth wave of infections driven by the BA.4 and BA.5 Omicron sub-variants.

South Africa has recorded the most coronavirus cases and deaths on the African continent and only exited a fourth wave in January.

Experts had predicted a fifth wave could start during the southern hemisphere winter months, sometime in May or June.

Just under 50% of South Africa's adult population of roughly 40 million have received at least one dose of COVID vaccine, with 45% of adults fully vaccinated.

The pace of vaccinations has slowed in recent months, with officials warning that shots risk being discarded.

Initially the vaccination campaign was dogged by difficulties securing early supplies but later by hesitancy.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom