Afrika kwa sasa hakuna winga kama Mafokeng

Afrika kwa sasa hakuna winga kama Mafokeng

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Uyu winger wa Orlando Pirates amejitengenezea Dunia yake kutokana na uchezaji wake huchoki kumtazama kwakweli.

20241210_010046.jpg
 
Mbona ile juzi dhidi ya Al ahly alikuwa anatalii tu uwanjani?, hebu tuwekee videos za huko nyuma huenda tukashawishika na usemalo
 
Waarabu watamsajili au ataenda ulaya mtulivu kwenye lango sana
 
Back
Top Bottom