you know ball brother.Miba tuuu kwa SA
As we should.Twende ma Mexco
Wajinga Hawa wasouth,tuliwahifadi,wametugeuka,kwanza wavivu, cha pombe sana!Salaam to everyone and Happy World Cup Holiday,
Kama ilivyo kawaida ya kwamba kila baya litalipwa hapa hapa duniani.
Leo kwenye World Cup mechi ya ufunguzi kati ya Mexico na South Africa, wa-Africa wengi kwenye social media platforms mbalimbali wameanzisha campaign ya kui-support Mexico against South Africa kutokana na mauaji yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika kwa raia kutoka nchi mbalimbali za Africa kutoka kwa raia wa South Africa, nchini South Africa.
It has been encouraged as well for fans watakao hudhuria mechi hio uwanjani ku-show up banners za ku discourage Xenophobic characters on SA in general.
I hope Mexico wins it by an infinity margin.
Happy Holiday everyone.
wanaona nchi yao kama mbinguni, acha wapigwe tu.Wajinga Hawa wasouth,tuliwahifadi,wametugeuka,kwanza wavivu, cha pombe sana!
Kazi zao za kushabikia ? 😂Bora tushabikie Mexico coz tukishabikia South Africa watasema tunachukua kazi zao.
You already know what to do brother. Go Mexico Goooo!!!Bora tushabikie Mexico coz tukishabikia South Africa watasema tunachukua kazi zao.
Yes, wasije wakatupiga na kutumaliza kisa kazi zao za ushabiki.Kazi zao za kushabikia ? 😂
read the room and contextualize brother.Achana na mapungufu yote ila mpira anaoukanyaga SA mexico hawez...
wewe wapambe mexico na ukitaka kaishi guadarajala ila leo kazi ataiona
Huyo SA ana mpira gani na akina Mokoena wake? Au unafikiri hatukumuona Afcon pale Morocco?Achana na mapungufu yote ila mpira anaoukanyaga SA mexico hawez...
wewe wapambe mexico na ukitaka kaishi guadarajala ila leo kazi wataiona
Easy boyread the room and contextualize brother.
moja ya vitu vinavyotumika kuwapumbaza watawaliwa duniani ili wapoteze focus ya kufuatilia jinsi tabaka tawala linavyowalawiti ni mpira wa miguu.Salaam to everyone, and Happy World Cup Holiday.
Kama ilivyo kawaida ya kwamba kila baya litalipwa hapa hapa duniani.
Leo kwenye World Cup mechi ya ufunguzi kati ya Mexico na South Africa, wa-Africa wengi kwenye social media platforms mbalimbali wameanzisha campaign ya kui-support Mexico against South Africa kutokana na mauaji yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika kwa raia kutoka nchi mbalimbali za Africa kutoka kwa raia wa South Africa, nchini South Africa.
It has been encouraged as well for fans watakao hudhuria mechi hio uwanjani ku-show up banners za ku discourage Xenophobic characters on SA in general.
I hope Mexico wins it by an infinite margin.
Happy Holiday, everyone.
Kwahiyo wewe unashauri nini kifanyike Mkuu?moja ya vitu vinavyotumika kuwapumbaza watawaliwa duniani ili wapoteze focus ya kufuatilia jinsi tabaka tawala linavyowalawiti ni mpira wa miguu.
Hata tuki focus, hatuna uwezo wa kupambana na watawala.moja ya vitu vinavyotumika kuwapumbaza watawaliwa duniani ili wapoteze focus ya kufuatilia jinsi tabaka tawala linavyowalawiti ni mpira wa miguu.