Afrika leo tunasimama na Mexico kombe la dunia

Maisha ndo haya haya! Tukitoka kwenye kupambania haki zetu tunajiliwaza na soka!! Hapo nguvu ya kupambania haki na kupinga udhalimu inakuwa endelevu. Vinginevyo tutaishia kwenye presha na vidonda vya tumbo! Soka ni muhimu!
 
Wewe utakuwa Abdul bila shaka! Unafanya kuuwa mtu ni jambo jepesi tu! Yaani kwa kosa la kuzamia kifo kinakuwa halali si ndiyo!
 
Hawa ndo walitegemea Afrika iwaunge mkono:
View attachment 3606147
Hapo wana silaha zao za jadi mapanga, upinde, fimbo nk wakiwawinda waafrika wenzao wawatimue na kuwaua baadhi! Kisa: eti wanachukua kazi zao. Si wangeiomba serikali yao itoe tangazo la kuwataka waafrika wote watoke afrika ya kusini ndani ya masaa kadhaa badala ya kuwavamia na kuwashambulia kinyama hivyo!
Matokeo yake mfumo umewatema kwenye kombe la dunia kwa sharable ya kadi mbili nyekundu!!
 
Wewe utakuwa Abdul bila shaka! Unafanya kuuwa mtu ni jambo jepesi tu! Yaani kwa kosa la kuzamia kifo kinakuwa halali si ndiyo!
Sbdul ndio nani? Alsfu kwann unatunga uongo kama shangingi la kike?
 
Kwa hiyo mtu asipoelewa kifo ni halali yake au? Wewe hapo unaelewa mambo yote? Kwa hiyo kwa kutokuelewa kwako kwa baadhi ya mambo, uko hai kwa makosa maana ilibidi uuawe! Vipi hapo?
Hawa wazamiaji wanapoenda SA,hukaba,na kuuwa na kuwanyanganya wenyeji vitu,sasa wao wakijibu ww unaumia nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…