Unawafahamu au huwafahamu hiyo sio shida yangu, nimesema na nimekomaa kwenye msimamo wangu kwamba lazima ufanye mtihani unaoratibiwa na kituo ambacho ni full member of International Actuarial Association. Kufanya mitihani ya kanyamba universities na kupataa digrii haijatosha kuwa qualified. Hilo nitawasisitizia mpaka liwaingie, muache kukurupuka na kusoma kwa makini taarifa zinasema nini.
Hadi muonyeshe ushahidi wa hao mashujaa wenu waliokidhi vigezo, itabaki kuwa stori basi. Mkwangue Google yote, mpige masimu na kuwafuata mpaka kitaa walipo. Msimamo upo pale, mtatukana kwa kuishiwa lakini ndio shindano itakua inawaingia.