Afrika Mashariki ina actuarial scientists 46, ila wote Wakenya

Usilete vitu vya Japani na Ujerumani, hampo kwenye level yao kabisa... tena mpo mbali sana.

Wewe umesema ili uwe financial Mathematician ni lzm ufanya Mtihani wa Uingereza, ndiyo nikakuuliza hilo swali!
 
Wewe umesema ili uwe financial Mathematician ni lzm ufanya Mtihani wa Uingereza, ndiyo nikakuuliza hilo swali!

Nimesema kulingana na taarifa 'To be qualified' lazima ufanye mitihani iliyoteuliwa, haufai kuishia kwenye digrii za hapo Bongo.
To become a Fellow of Actuarial Society or an Associate of the Actuarial Society you must pass certain examinations.
 
Acturial scientist wa bongo kazini apoo( tathmini ya tomato sauce[emoji2] [emoji2] [emoji90] )
 
Wewe huko Kenya ni nani kwani? Na hayo mabanda ya DAr hjebu tuwekee nyumba unayoishi huko Kenya? Tuwekee na ya mabanda ya nguruwe kule Kibera ambayo wanishi watu kutoka taifa linalosemekana limmendelea EA kuliko mengine
 
Wamegundua nini mbona kila kitu mna import. Bora sisi kwenye orodha hiyo hatupo ila kuna jama kaunyesha uthubutu wa kutengeneza helcopte ijapokuwa kwenye kuruka ndio ikawa mtihani?????
 
Nipeni taratibu za kufanya hii mitihani nijipime kama nasifa husika
 
Nimesema kulingana na taarifa 'To be qualified' lazima ufanye mitihani iliyoteuliwa, haufai kuishia kwenye digrii za hapo Bongo.
To become a Fellow of Actuarial Society or an Associate of the Actuarial Society you must pass certain examinations.
Eti haifai kuishia kwenye digrii za kwetu bongo, ewe slave, usitusemee mioyo, haifai wewe na wakenya wenzako kuishia kwenye digrii za huko kwenu.
We're comfortable with ours and we're working hard to improve them.

Actuarial is shit
 
Najua sio kupenda kwenu kwamba hamuelewi kinachozungumziwa humu, uwezo wenu huwa mdogo sana katika kudadavua chochote.

Wanaoelewa wanapita kimya kwa aibu.
 
Oya hawa jamaa waongo sana labda wangesema zamani sio sasa. Kwa taarifa tu hiyo kozi inatolewa mlimani UDSM na 2015 waligraduate sijui idadi hasa wapo pale CONAS UDSM.
Na Hivi tunapoongea kuna conference na career building inayohusu actuarial hapo mlimani. Wakenya Mara nyingi ni waongo sana.
Waweza tembelea website ya udsm ukapata kitabu cha undergraduate prospectus kinachoonesha kozi zote kuthibitisha.
 
Nimesema kulingana na taarifa 'To be qualified' lazima ufanye mitihani iliyoteuliwa, haufai kuishia kwenye digrii za hapo Bongo.
To become a Fellow of Actuarial Society or an Associate of the Actuarial Society you must pass certain examinations.
Nawafahamu hao actutialist batch ya 2015 UDSM waliajiriwa na wakafanya hiyo mitihani ya bodi baadae. Suala Tz wapo sio kama unavyohubiri humu hawapo. Hiyo sio sawa labda ungesema hiyo program ilichelewa kuanza kwq Tz ntakuelewa
 
Wewe umesema ili uwe financial Mathematician ni lzm ufanya Mtihani wa Uingereza, ndiyo nikakuuliza hilo swali!

Huyu MK254 ni mgumu kuelewa. Yeye anafikiri lazima ufanye mitihani ya uingereza ndo utakuwa registered.
Kumbe waweza REGISTER popote pale with credible board. After all ukienda continental Europe na Scandinavia hawana habari na hivyo vitu, sijui ACCA, RICS.
 
Badala ya kujipiga vifua,maswala kama haya ndo yangekuwa yanasuluhishwa chini ya The East African Community,usawa wa proffesionals kati ya nchi husika.Sasa we fikiria hawa jamaa wakitaka kujadili maswala flani kwenye taaluma yao?Wanajipata hawana wakualika,wala wenyewe hawaalikwi kokote!
 
Nawafahamu hao actutialist batch ya 2015 UDSM waliajiriwa na wakafanya hiyo mitihani ya bodi baadae. Suala Tz wapo sio kama unavyohubiri humu hawapo. Hiyo sio sawa labda ungesema hiyo program ilichelewa kuanza kwq Tz ntakuelewa

Unawafahamu au huwafahamu hiyo sio shida yangu, nimesema na nimekomaa kwenye msimamo wangu kwamba lazima ufanye mtihani unaoratibiwa na kituo ambacho ni full member of International Actuarial Association. Kufanya mitihani ya kanyamba universities na kupataa digrii haijatosha kuwa qualified. Hilo nitawasisitizia mpaka liwaingie, muache kukurupuka na kusoma kwa makini taarifa zinasema nini.

Hadi muonyeshe ushahidi wa hao mashujaa wenu waliokidhi vigezo, itabaki kuwa stori basi. Mkwangue Google yote, mpige masimu na kuwafuata mpaka kitaa walipo. Msimamo upo pale, mtatukana kwa kuishiwa lakini ndio shindano itakua inawaingia.

Aisee bro mbona unahangaika na waswahili jamani, mie huwaga ni kuwapa za usoni alafu mbele kwa mbele! Hehee kwa elimu yao naskia eti bashite pia ni acturial scientist apo dar!!! Mwafa![emoji2] [emoji2] [emoji90] [emoji90]
 
mhhh!!! mbona mie kaka yangu actuarial scientist na ni mtanzania
sawa ni actuarial but according tu jamaa hapo... ili kuwa actuarial ambaye ni competetive atleast afanye iyo mitihani iliyoinidhishwa na bwana mkubwa hapo juu" in addition ni kwamba iyo bachelor moja waliyoipata inawafanya waonekane wa kawaida tu compare to others
 
MK254 mbona povu hivyo? [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…