Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

Afrika mashariki na afrika kwa ujumla Tanzania kuongoza kuwa na reli ya kisasa ya umeme.

unataka cost ipi wakati ipo wazi km 300 za mwanzo za electrified rail ni US$1.2 bln na financing zitatoka partly Tanzania and partly Turkey!
BTW, mbona mi sielewi vizuri, mwanzo tanzania ilisema imetenga $400million kuanda ujenzi wa 400km ya reli, alafu turkey imetoa loan ya $1.2billion kuanza ujenzi wa reli hio hio.... ama ni reli nyengine? mbona hizo pesa mbili hazichanganywi? mkue makini sana na hizo detail watz, mkue mnauliza serikali iwaelezee vizuri kila kitu,
 
Ficha upumbavu!

Tukija kwenye mtandao/GOOGLE pekee ,ni Kenya ndiye aliyetafsiri kiswahili kinachotumika kotekote mitandaoni zama zile kabla ya nyie kujua ulimwengu ni nini.
Kamusi zote kuu ni Kenya alizitafsiri na Kiswahili cha Kenya ndicho kilichotumika.
Bado mlikua bongolala mkiketi vijiweni na ujamaa wenu huo, kawaulize watanganyika wenzio mwana.
Kuna uzi ulioletwa humu na bongolala mwenzako baada ya kugundua kila aendako ughaibuni wanakifahamu Kiswahili kama lugha ya Kenya kabla hata kulifikiria neno Tanzania.
Hamjulikani kokote na mlilala usingizi wa pono,mmeshtuka juzi Kenya ikiwa tayari imeshaibeba nembo ya Kiswahili.
Bunge lenyu hilo na sheria pamoja na lafudhi zenu hizo za ajabu zina faida gani kwetu?
Chuo kuu nchi za nje ni walimu wa Kenya walio wengi hufunza Kiswahili, hususan Ulaya na Marekani..CC Marehemu Prof. Ali Mazruhi,Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi.
Mwana,Tazania halina lolote la kuizidi Kenya tukija kwenye swala hili,labda nyimbo za kina Ali na Diamondi pamoja na skendo za vijiweni.
Ikiwa ni taarabu,tunayo Mombasa,Lamu na Pate n.k
Hayo maneno ya kwenye kanga wanayaweza wanawake wenzio lakini kwangu ni fact kwa fact.

Fact nyingine

Tanzania kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 100%

Kenya kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 25%

Nani mwenye lugha?
 
Hayo maneno ya kwenye kanga wanayaweza wanawake wenzio lakini kwangu ni fact kwa fact.

Fact nyingine

Tanzania kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 100%

Kenya kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 25%

Nani mwenye lugha?

Nishakwambia ficha mkunduo unaleta ushuzi humu.
Hapa JF watanzania wenzako wanahaha wapo hoi wakiliharibu lugha kila kukicha.
Husinifanye nimwite bibiye FaizaFoxy humu...yeye ndiye mwalimu wa bongolala wenzio wasukuma sijui wapare na wanyamwezi.

Kalb wahed
 
Hayo maneno ya kwenye kanga wanayaweza wanawake wenzio lakini kwangu ni fact kwa fact.

Fact nyingine

Tanzania kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 100%

Kenya kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 25%

Nani mwenye lugha?

Eti 100% hata aibu huoni weye?
Eti Mwenye lugha,chunga viroba ni hatari hususan asubuhi.
 
Nishakwambia ficha mkunduo unaleta ushuzi humu.
Hapa JF watanzania wenzako wanahaha wapo hoi wakiliharibu lugha kila kukicha.
Husinifanye nimwite bibiye FaizaFoxy humu...yeye ndiye mwalimu wa bongolala wenzio wasukuma sijui wapare na wanyamwezi.

Kalb wahed
Bampa to Bampa
Kama kawaida Zee la Facts najimwaga uwanjani maneno namuachia kasuku.

Fact nyingine

Tanzania imechapisha kamusi anuai za kiswahili zipatazo 21 zilizoorodheshwa katika mtandao wa Wikipedia.

Kenya imechapisha kamusi 6 tu zilizoorodheshwa Wikipedia.

Kiswahili - KiswahiliEdit
  • Kamusi ya Kiswahili Sanifu (KKS). Dar es Salaam, Tanzania: Oxford University Press. 1981, 2004, 2013. (imetungwa na TATAKI, awali TUKI)
  • Kamusi la Kiswahili Fasaha (KKF), (imetungwa na BAKIZA), Oxford 2010 -ISBN 978 019 5736182.
  • Kamusi ya Karne ya 21 (KK21). Nairobi, Kenya: Longhorn. 2011 - ISBN 978 9966 36 120 0.
  • Kamusi Teule ya Kiswahili (KTK). Nairobi, Kenya: East Africa Educational Publishers, 2014.
  • Kamusi Kuu ya Kiswahili (KKK). Nairobi, Kenya; Kampala, Uganda; Dar es Salaam, Tanzania: Longhorn, 2015. (imetungwa na BAKITA)
  • Bakhressa, Salim K., Kamusi ya Manaa na Matumizi (KMM). Nairobi, Kenya: Oxford University Press, 1992
  • Kiputiputi, Omari M. Kamusi Sanifu ya Kompyuta (KSK), Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, toleo la kwanza 2011, ISBN 978 9987 531 12 7
  • Kamusi Sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia / English-Swahili Dictionary of Biology, Physics and Chemistry - TUKI/UNESCO/SIDA, Dar es Salaam, 1990
  • Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha - TUKI/UNESCO/SIDA, Dar es Salaam, 1990, ISBN 9976 911 10 6
  • Massamba, D.P.B., Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha, TUKI, Dar es Salaam, 2004, ISBN 9976 911 73 4
  • Wamitila, K.W., Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio na Milingano, Longhorn 2003
  • Wamitila, K.W., Kamusi ya Fasihi, Istilahi na Nadharia, Focus, Nairobi 2003
  • Mwansoko H.T.Z. - Tumbo-Masabo Z.N. - Sewangi S.S., Kamusi ya Historia - TUKI, Dar es Salaam, 2004 - ISBN 9976 911 75 0
  • Mkota, A., Kamusi ya Methali, Vide-Ruwa, Nairobi 2009
  • Arege, T. - Nyanje, M., Kamusi Fafanuzi ya Methali, Target, Nairobi 2011
  • Tumbo-Masabo, Z.N. - Chuwa A.R.,Kamusi ya Biashara na Uchumi, TUKI, Dar es Salaam, 1995, ISBN 9976 911 37 8
  • Mwita, A.M.A. - Mwansoko, H.J.M.,Kamusi ya Tiba (TUKI) 2003
  • Mlingwa, C.O.F. - Kiango, J.G., Kamusi ya Ndege kwa Picha, TUKI 2006ù
  • Mdee T.S. - Kiango J.K., Kamusi ya Wanyama - TUKI 2008, ISBN 978 9987 442 263
  • Mkota, A. - Sakara, F., Kamusi ya Semi, Vide-Ruwa, Nairobi 2011
  • King'ei, K. - Ndalu, A., Kamusi ya Semi, EAEP, Nairobi, Kampala, Dar es Salaam, 1988-2007
  • Mohamed, H.A. - Mohamed, S.A.,Kamusi ya Visawe, Swahili Dictionary of Synonims, EAEP, Nairobi, Kampala, Dar es Salaam, 1998
  • Familia za Maamkio, English-Kiswahili Catholic Dictionary (a first English-Swahili dictionary of terms in use in the Catholic Church - with glosses in Latin and Italian) - Ndanda Mission Press, 2001, ISBN 9977 663 625 3
Kiswahili - KiingerezaEdit
  • Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza(Swahili-English Dictionary KKK/SED) (imetungwa na Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, toleo la pili Dar es Salaam 2014, ISBN 9976-911-44-0; online hapa [4])
  • Kamusi Awali ya Sayansi na Tekinolojia (KAST). Dar es Salaam, Tanzania: Ben & Co. Ltd., 1995.(imetungwa na TUKI)
  • Madan-Johnson, A Standard Swahili-English Dictionary (M-J SSE) (hutolewa na Oxford University Press, Nairobi & Dar es Salaam, 1939 na kuchapishwa upya mara nyingi)
Kiingereza - KiswahiliEdit
  • English-Swahili Dictionary (Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili KKK/ESD) (imetungwa na TUKI, third edition Dar es Salaam 2006, ISBN 9976-911-29-7;online hapa [5])
  • Madan-Johnson, A. Standard English-Swahili Dictionary (M-J SES) (Oxford University Press, Nairobi & Dar es Salaam, 1939 na kuchapishwa upya mara nyingi)
  • Snoxall R.A. - Mshindo H.B., Concise English-Swahili Dictionary / Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili (Oxford University Press, Nairobi & Dar es Salaam, 1998 na kuchapishwa upya mara nyingi)
  • Kirkeby, Willy A. English Swahili Dictionary (Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili) (Kirkeby Publishing Company, Dar es Salaam and Skedsmokorset,Norwei, 2002, ISBN 82-994573-2-7)
  • Mlacha, S.A.K., Kamusi ya Sheria Kiingereza-Kiswahili, TUKI 1999
Kiitalia - Kiswahili - KiitaliaEdit
  • Pick, M. Vocabolario Kiswahili-Italiano Italiano-Kiswahili (Kamusi ya Kiswahili - Kiitalia - Kiswahili) (EMI, Bologna, 1978)
Kiswahili - KijerumaniEdit
Kiswahili - Kifaransa - KiingerezaEdit
M.A.J.E. CHIPA, Francais-Kiswahili-English / Misamiati ya msingi kwa wanaojifunza lugha Kifaransa-Kiswahili-Kiingereza - MAJEC-AJEJER, Dar es Salaam 2006, ISBN 9987 451 16 0


Nani mwenye lugha?
 
Eti 100% hata aibu huoni weye?
Eti Mwenye lugha,chunga viroba ni hatari hususan asubuhi.
Zee la facts kama kawaida najimwaga upenuni

Fact nyingine

Kamusi kongwe ya Tanzania baada ya uhuru imechapichwa mnamo mwaka 1981 kwa mujibu wa Wikipedia na TATAKI


Kamusi kongwe ya Kenya ni ya mwaka 2003 kwa mujibu wa Wikipedia na mtu binafsi

  • Wamitila, K.W., Kamusi ya Fasihi, Istilahi na Nadharia, Focus, Nairobi 2003

Nani mwenye lugha?
 
Zee la facts kama kawaida najimwaga upenuni

Fact nyingine

Kamusi kongwe ya Tanzania baada ya uhuru imechapichwa mnamo mwaka 1981 kwa mujibu wa Wikipedia na TATAKI


Kamusi kongwe ya Kenya ni ya mwaka 2003 kwa mujibu wa Wikipedia na mtu binafsi

  • Wamitila, K.W., Kamusi ya Fasihi, Istilahi na Nadharia, Focus, Nairobi 2003

Nani mwenye lugha?

Sina mda wa ushenzi huu, haya weye mwenye lugha,njoo kaichukue ukaitie m**#uo.
Tafaddali husininukuu kwa mambo ya kipuuzi tena.
OVA!

Kalb wahed!
 
Sina mda wa ushenzi huu, haya weye mwenye lugha,njoo kaichukue ukaitie m**#uo.
Tafaddali husininukuu kwa mambo ya kipuuzi tena.
OVA!

Kalb wahed!
Kama kawaida the more you get confused the more powerful facts injected hahaha stunning.

Zee la facts bado sijalala mwanangu utauwawa bure, beware

Fact nyingine

Swahili pia ni jina la mkazi wa Zanzibar/Mtanzania na kandokando ya ufukwe wa Tanzania /Zanzibar
IMG_20170206_101410.JPG


Nani mwenye lugha?
 
Sina mda wa ushenzi huu, haya weye mwenye lugha,njoo kaichukue ukaitie m**#uo.
Tafaddali husininukuu kwa mambo ya kipuuzi tena.
OVA!

Kalb wahed!
Nyie wakenya ni watumwa wetu wa lugha kama mlivyo watumwa wa waingereza kwa kutumia English.

Hivyo Tanzania ni dominant, influencer ndio maana all East Africa and Africa and the World around the biggest universities and colleges wanatumia lugha yetu ambayo ni utamaduni wetu.

Radio kubwa na TV kama BBC, DW, RFI, RADIO JAPAN, RADIO CHINA, VOA ETC wanatumia utamaduni wa mtanzania lugha ya kiswahili kutangazia that's our legacy.
 
Hapa bavicha hutawasikia.....wanasubiria mradi ukwame waje na pumba
Kwaio mradi ukikwama kitakuwa kitu cha maana...hii cmu hajanunuliwa kweli uandike huu upuuzi...maana sithani kwa akili hizo unawezo wa kununua simu
 
ni wazo zuri, ila naona hili swala la reli limekuwa na sarakasi nyingi sana.

time will tell
 
Raha yetu Tanzania tunajitekenyaga na kucheka wenyewe, kutokutoka nje kumefanya kila kitu tunasema Africa Mashariki na kati wakati tunachowazidi wenzetu sisi ni Lugha ya Kiswahili tu
Aha hizo wewe si mzalendo kwani waziri kasema walituma vijana south Africa, Kenya,Morocco, Ethiopia na Nigeria kuona huko changamoto na makosa waliyofanya wakati wa impementation ili sisi tuweze kuyaepuka. big up wazee wa miundo mbinu.
 
Back
Top Bottom