BTW, mbona mi sielewi vizuri, mwanzo tanzania ilisema imetenga $400million kuanda ujenzi wa 400km ya reli, alafu turkey imetoa loan ya $1.2billion kuanza ujenzi wa reli hio hio.... ama ni reli nyengine? mbona hizo pesa mbili hazichanganywi? mkue makini sana na hizo detail watz, mkue mnauliza serikali iwaelezee vizuri kila kitu,unataka cost ipi wakati ipo wazi km 300 za mwanzo za electrified rail ni US$1.2 bln na financing zitatoka partly Tanzania and partly Turkey!
Hayo maneno ya kwenye kanga wanayaweza wanawake wenzio lakini kwangu ni fact kwa fact.Ficha upumbavu!
Tukija kwenye mtandao/GOOGLE pekee ,ni Kenya ndiye aliyetafsiri kiswahili kinachotumika kotekote mitandaoni zama zile kabla ya nyie kujua ulimwengu ni nini.
Kamusi zote kuu ni Kenya alizitafsiri na Kiswahili cha Kenya ndicho kilichotumika.
Bado mlikua bongolala mkiketi vijiweni na ujamaa wenu huo, kawaulize watanganyika wenzio mwana.
Kuna uzi ulioletwa humu na bongolala mwenzako baada ya kugundua kila aendako ughaibuni wanakifahamu Kiswahili kama lugha ya Kenya kabla hata kulifikiria neno Tanzania.
Hamjulikani kokote na mlilala usingizi wa pono,mmeshtuka juzi Kenya ikiwa tayari imeshaibeba nembo ya Kiswahili.
Bunge lenyu hilo na sheria pamoja na lafudhi zenu hizo za ajabu zina faida gani kwetu?
Chuo kuu nchi za nje ni walimu wa Kenya walio wengi hufunza Kiswahili, hususan Ulaya na Marekani..CC Marehemu Prof. Ali Mazruhi,Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi.
Mwana,Tazania halina lolote la kuizidi Kenya tukija kwenye swala hili,labda nyimbo za kina Ali na Diamondi pamoja na skendo za vijiweni.
Ikiwa ni taarabu,tunayo Mombasa,Lamu na Pate n.k
Hayo maneno ya kwenye kanga wanayaweza wanawake wenzio lakini kwangu ni fact kwa fact.
Fact nyingine
Tanzania kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 100%
Kenya kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 25%
Nani mwenye lugha?
Hayo maneno ya kwenye kanga wanayaweza wanawake wenzio lakini kwangu ni fact kwa fact.
Fact nyingine
Tanzania kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 100%
Kenya kuna wazungumzaji wa kiswahili fasaha kwa 25%
Nani mwenye lugha?
Bampa to BampaNishakwambia ficha mkunduo unaleta ushuzi humu.
Hapa JF watanzania wenzako wanahaha wapo hoi wakiliharibu lugha kila kukicha.
Husinifanye nimwite bibiye FaizaFoxy humu...yeye ndiye mwalimu wa bongolala wenzio wasukuma sijui wapare na wanyamwezi.
Kalb wahed
Zee la facts kama kawaida najimwaga upenuniEti 100% hata aibu huoni weye?
Eti Mwenye lugha,chunga viroba ni hatari hususan asubuhi.
Zee la facts kama kawaida najimwaga upenuni
Fact nyingine
Kamusi kongwe ya Tanzania baada ya uhuru imechapichwa mnamo mwaka 1981 kwa mujibu wa Wikipedia na TATAKI
- Kamusi ya Kiswahili Sanifu (KKS). Dar es Salaam, Tanzania: Oxford University Press. 1981, 2004, 2013. (imetungwa na TATAKI, awaliTUKI)
Kamusi kongwe ya Kenya ni ya mwaka 2003 kwa mujibu wa Wikipedia na mtu binafsi
- Wamitila, K.W., Kamusi ya Fasihi, Istilahi na Nadharia, Focus, Nairobi 2003
Nani mwenye lugha?
Kama kawaida the more you get confused the more powerful facts injected hahaha stunning.Sina mda wa ushenzi huu, haya weye mwenye lugha,njoo kaichukue ukaitie m**#uo.
Tafaddali husininukuu kwa mambo ya kipuuzi tena.
OVA!
Kalb wahed!
Nyie wakenya ni watumwa wetu wa lugha kama mlivyo watumwa wa waingereza kwa kutumia English.Sina mda wa ushenzi huu, haya weye mwenye lugha,njoo kaichukue ukaitie m**#uo.
Tafaddali husininukuu kwa mambo ya kipuuzi tena.
OVA!
Kalb wahed!
Kwaio mradi ukikwama kitakuwa kitu cha maana...hii cmu hajanunuliwa kweli uandike huu upuuzi...maana sithani kwa akili hizo unawezo wa kununua simuHapa bavicha hutawasikia.....wanasubiria mradi ukwame waje na pumba
Mtabaki maneno madude yanaruka tu na dreamliner liko njiani mwakani.Kwani huzo ndege si chakavu? Hivi mfanyiweje mjue mmepigwa kwenye ndege?
Na lenyewe mnapigwa tena. Ushasahau ya Mv. Darisalam?Mtabaki maneno madude yanaruka tu na dreamliner liko njiani mwakani.
Aha hizo wewe si mzalendo kwani waziri kasema walituma vijana south Africa, Kenya,Morocco, Ethiopia na Nigeria kuona huko changamoto na makosa waliyofanya wakati wa impementation ili sisi tuweze kuyaepuka. big up wazee wa miundo mbinu.Raha yetu Tanzania tunajitekenyaga na kucheka wenyewe, kutokutoka nje kumefanya kila kitu tunasema Africa Mashariki na kati wakati tunachowazidi wenzetu sisi ni Lugha ya Kiswahili tu