Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Inategemeana na Lafudhi ya mtu ambayo hutegemeana na Lugha ya asili ya mtu, na wala haitegemeni na nchi
Lafudhi inaamua kama uongee kwa mikogo au la. Ufasaha wa lugha ni kutamka msamiati wake vema na kutokosea miundo, bhaaasi!