Afrika ndiyo bara lenye Wakristo wengi, viongozi wa kikristo watokee Afrika na Makao Makuu yahamie Afrika, ukristo umeshuka Ulaya, Waisrael hawautaki

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Waislam wengi ni waarabu, viongozi na makao makuu yapo uarabuni.

Wahindu wengu ni wahindi, Viongozi na makao makuu yapo India.

Ajabu ni kwamba wakristo wengi ni sisi waafrika lakini viongozi na makao makuu yapo ulaya.

Ulaya imeshakuwa kawaida makanisa yanakuwa matupu kabisa, si ajabu kusikia makanisa yamegeuzwa kuwa misikiti.

Hadi sasa Afrika ndio kinara wa ukristo, inakuaje viongozi wawe wazungu na makao makuu yawe huko ulaya, hii sio sawa.

Zama za wazungu kuwa viongozi wa dini ambayo wafuasi wake wengi ni wa afrika zimeshapita, ni vema kwa sasa wa afrika ndio wawe viongozi na makao makuu yahamie Afrika.

Sisi waafrika ndio wenye hii dini kwa sasa, yafaa wahusika wakuu tuwe sisi na makao makuu yahamie Africa.
 
Tuachane na uzumbukuku wa kutaka kuongozewa kitu na watu ambao tumewazidi uwakilishi.
 
Waafrika ni customers Tu kwenye hiyo biashara..
Wazungu ni wamiliki wa biashara..
Makao makuu ni Rome na London ilipo Anglican church...
Sadaka zote zinapelekwa huko
 
Waafrika ni customers Tu kwenye hiyo biashara..
Wazungu ni wamiliki wa biashara..
Makao makuu ni Rome na London ilipo Anglican church...
Sadaka zote zinapelekwa huko
Wazungu wengi walishaacha kuamini ukristo, hata makanisa yamekauka.

Ni muda wa kuzungusha meza

Pia wajua kanisa la Anglicana hufunga ndoa za mashoga ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…