Afrika ndiyo bara maskini

Mimi nazani kuhendelea si lazima uwe na elimu tu au uhende shuleni ila sija kataa eti elimu ni muimu nina taka kusema mimi na ishi canada nina juwa jinsi wazungu wanavyo ishi katika ,maisha yao ndo maana nimesema kuhendelea si lazima uwe na elimu afrika kinacho turudisha nyuma ni kuwapa wazungu nafasi wazidi kujitawala saaana ndani yetu ndo maana tuko maskini yaani tuko wa tumwa au wafungwa huru tuna kubali kila kitu tu wazungu watu endeshe au watu ambiye angalieni mifano ya wa arabu inchi zao zina endelea saana kuzidi za kwetu sisi watu weusi kwa maana wao wako kivyao awa mtegemea saana mzungu ila sisi ata ka kesi kakutatuwa nyumbani kwetu nilazima ni ende kwa mzungu uo ni utumwa ata pesa atuwezi zipate afrika tuwamuke sio kila siku kupiga piga esabu ya pesa zinazo engiza wenzenu kumwezi mimi nikiwa raisi pesa zangu nina weza zipandisha power na nina kataa urafiki na wazungu zaidi saana wa marekani ,wa faransa ,wajeremani, wote ao nina weza kataa akuna ata kaye ingiya mu inchi yangu
 
Na sisi Waafrika kwa kulaumu tu wengine kwa matatizo yetu!!!!!????

Chimbuko la Umaskini wetu ni Sisi wenyewe...period!

Sasa Serikali inanunua mashangingi ya mabilioni...leo hii...na tunawalaumu wazungu!!!
Una sema kweli ndugu mimi nina uzunikaga saana kuona afrika ni bara maskini duniani na kila kitu tunacho mimi na ishi canada nishawai kutembea mu iyi statu ambayo mimi na ishi ili mradi ni one kanyumba kama kale nilio kuwa naona kigoma sijaonaga sasa apo ndo na wakuwaka na jiuliza kwanini sisi tuko ivi jaa ni sisi matatizo ya kila kitu ni sisi mimi nikipitaga kuwa raisi sita kuwaka rafiki wa adui wa ma endeleo yangu au wakunipa onyo
 
Leo wenye degree ndio wanalalamika hakuna ajira.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Uyu jamaa na hisi ana umwa uyu wasomi wangapi ambao wako afrika lakini awana chochote nao wana angaika kama wanavyo angaika WASIO soma kusoma saana sio kutowa umaskini asikudanganye mtu eti kusoma saana ndo kupambana na umaskini
Mimi nina umia saana kuona ma raisi wetu wana kimbilia saana kujenga mabara bara au majumba makali kuliko kufunguwa viwanda ili watu wapate ajira mambo ya kukarabati au kujenga majumba ayo yata kuja nyuma sasa funguweni makazi ili watu wafanye kazi wapambane na umaskini na mambo ya kusaidia saidia na wazungu ayo acheni ndio maana wanatuzarau saana na sheria ni sheria tu sio eti sheria ikisha pangwa alafu inchi kwasababu ni powerful in the world ina sema tu muna iyacha sheria mulio panga duh! Utumwa tu mambo ya eshima ayo kwangu sizani kama yana weza kuwepo na kuhusu wa kimbizi katika inchi yangu sizani kama kuna weza kuwa kuna ingiya mkimbizi ivyo ovyo tu kwasababu wa anze tupa misaada duh! Wangu ahipo iyo iki ingiya mu inchi yangu akikisha una pasport ya inchi yako sio eti wewe mzungu tu uje na kuingia KULALA upendavyo na kuhusu kujenga majumba serekali acha mafundi wawajengeye watu majumba kubure ili tupate kuwa na kondi nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…