Maitre zuma
Member
- Sep 30, 2018
- 21
- 3
Mimi nazani kuhendelea si lazima uwe na elimu tu au uhende shuleni ila sija kataa eti elimu ni muimu nina taka kusema mimi na ishi canada nina juwa jinsi wazungu wanavyo ishi katika ,maisha yao ndo maana nimesema kuhendelea si lazima uwe na elimu afrika kinacho turudisha nyuma ni kuwapa wazungu nafasi wazidi kujitawala saaana ndani yetu ndo maana tuko maskini yaani tuko wa tumwa au wafungwa huru tuna kubali kila kitu tu wazungu watu endeshe au watu ambiye angalieni mifano ya wa arabu inchi zao zina endelea saana kuzidi za kwetu sisi watu weusi kwa maana wao wako kivyao awa mtegemea saana mzungu ila sisi ata ka kesi kakutatuwa nyumbani kwetu nilazima ni ende kwa mzungu uo ni utumwa ata pesa atuwezi zipate afrika tuwamuke sio kila siku kupiga piga esabu ya pesa zinazo engiza wenzenu kumwezi mimi nikiwa raisi pesa zangu nina weza zipandisha power na nina kataa urafiki na wazungu zaidi saana wa marekani ,wa faransa ,wajeremani, wote ao nina weza kataa akuna ata kaye ingiya mu inchi yanguNgabu tatizo la africa ni kupuuzia elimu ya chuo kikuu, tizama nchi zilizopiga hatua kielimu (most educated countries) ndo hizohizo zilizoendelea. Tizama nchi zinazotoa elimu ya chuo kikuu bure (Swiden, Denmark, Norway na Finland) na ndio hizohizo tajiri. Korea ya Kusini elimu ya chuo kikuu ni afordable kwa kila mwananchi pia ndio nchi ya kuigwa kwa kasi ya maendeleo.
Country Percentage of population aged 25-64 that have attained a tertiary level of education (OECD Countries)
1 Canada 44.0
2 United States 38.4
3 Japan 37.4
4 Sweden 33.4
5 Finland 33.3
6 Denmark 31.9
7 Australia 31.3
8 Norway 31.0
9 New Zealand 30.9
10 Korea, South 29.5