Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Salaam kwenu Njaa hutafuna chango ila athari yake hudumaza fikra na ukomavu wa akili usipokuwa makini unaweza ukauza utu wako sababu ya 'sent 5' . Mamlaka za utendaji zimekaliwa na 'walala hoi' fikra zao ni umimi na familia yake na hatujui kabisa dunia ni duara tunapofanya maamuzi kwa kufumba macho athari haimpati mwananchi hata pia kizazi chako kitakuja kupata shurba'ukiwaruhusu wachina wavue samaki watatumia mabomu athari itazunguka ',ukiruhusu msitu utumiwe kwa mahitaji mengine anga haitakuwa salama, na kama ukitoa chochote pasipo fikra basi tutakachokipata ni sote.