Afrika sio wanufaika wakubwa wa USAID kama tunavyodhania

Nunua Toka UK

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
265
Reaction score
540
Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya.

Lakini toka rais Trump asaini executive order ya kusitisha USAID. Watu mbali mbali wamekuwa wakitoa malalamiko na kuitolea mfano Africa. Na vile vile sisi Waafrica wenyewe tumekuwa tukilia lia kuliko wanufaika wakubwa kama ninavyo soma kwenye SM na pia MSM.
 
Mkuu, unajenga hoja kwa kutumia wrong statistical data. Tafuta data zinazoonesha foreign aid to Africa by major donor country. Obviously, the United States is the largest source of foreign aid to Africa!

Ingawa takwimu unazotumia zinaonesha U.S. foreign aid to Africa ni ndogo kuliko U.S. foreign aid to other continents, bado hiyo kidogo ni kubwa kuliko any other country’s foreign aid to Africa.
 
USAID na misaada kutoka US ni tofauti.
Israel anapewa misaada ya kijeshi ambayo ni nnje ya taasisi ya USAID.
 
Kuna mawili, ama mleta uzi haelewi maana ya USAID na misaada ya US, au anaelewa ila kaamua kupotosha.
 
Ukiibariki Israel utabarikiwa. Na ukiilaan Israel UTALAANIWA. Marekani anaendelea tu kukusanya mibaraka za kutosha.

Kumbuka ni Mungu mwenyewe alisema Mungu wa kweli.
 
Mlete mada kuna vitu kadhaa huvielewi kuhusu US, USAID na Executive Order ya Trump. Rudi darasani!
 
Sio kwamba chati ya Africa inajitegema na hujaipata tu pengine ndio pasua kichwa
 
Next time usikurupuke, kuna tofauti kubwa ya USAID na Us foreign aid
 
Baada ya kugugugugu; nimeona mambo mawili yafuatayo;
a) Marekani kwa miaka 30 iliyopita imetoa kwa Africa Jumla ya Dollar Trillion 1.2.

b) Afrika ina jumla ya nchi 54.
Kisha nikapiga hesabu zangu za kishuleshule hivi;
1,200,000,000,000 ÷30 ÷ 54 = 740,740,740.740
Kwahiyo, kwa miaka 30 Marekani imekuwa ikitoa Dollar milioni 740,740,740.740 kwa kila nchi kwa kila mwaka kwa miaka 30. Lakini hapo ijumlishe na Egypt inayokula "lion share" ya misaada ya Marekani duniani.
 
Kwa kipindi hicho, other major donor countries wametoa kiasi gani kila mmoja?
 
Kwa akili zako fupi unazamia USAID ndio misaada yote unapitia kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…