Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Aug 26, 2023 #1 Remmy Ongala Wimbo Wema๐๐ View: https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
Remmy Ongala Wimbo Wema๐๐ View: https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini kabisa adui wa Afrika ni waafrika wenyewe. Nakulilia Afrika
Gautten Potten JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 1,642 Reaction score 3,426 Aug 26, 2023 #2 Bara la madalali na mikopo waamuke waende wp
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Aug 27, 2023 Thread starter #3 Joe Navarro said: Bara la madalali na mikopo waamuke waende wp Click to expand... Ukoloni mamboleo utawatafuna wajukuu zetu. Waafrika bado hawajakombolewa kifrikra Kuna mda unaina jinsi wanavyobabaikia wazungu. Wakati ukienda kwao huko wanatutenga sana
Joe Navarro said: Bara la madalali na mikopo waamuke waende wp Click to expand... Ukoloni mamboleo utawatafuna wajukuu zetu. Waafrika bado hawajakombolewa kifrikra Kuna mda unaina jinsi wanavyobabaikia wazungu. Wakati ukienda kwao huko wanatutenga sana
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Aug 27, 2023 Thread starter #4 Iddi Amin Dadah hakuogopa wazungu. Pamoja na mabaya yake alituwakilisha vyema
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Sep 10, 2024 #5 View: https://youtu.be/sqASF9oIRQY