Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Unapoamka asubuhi huna kazi na ukaamua kwenda kupiga soga mbili tatu na ghafla njiani umekutana na mdada analalamika kuibiwa pochi yake(yes) mwanaume umejitutumua ukakamata mwizi na kupokonya pochi kwenda kuikabidhi kwa mmiliki halali hapa lazima upewe 'shukrani'.
Tofauti na unavyoamka kwa kuelekea ofisini ile kufika tu,umekuta mtu ameleta kero yake mathalani ya kudhurumiwa kiwanja na ukaisolve hilo jambo halafu utashangaa unapatiwa 'shukrani' hivi kwanini wajibu kwa waafrika inakuwa kama ni ombi au msaada? Samahani kwa kutokuwa na mtiririko/mpangilio mzuri.