Bado sana..Scandinavia walianzisha utaratibu wa kulipa deposit chupa za pombe wakati wa manunuzi. Ukirudisha chupa unapewa hela yako.
Uingereza wanaanzisha mpango huo mwisho wa mwaka huu. Nikiangalia huu ndiyo mpango wetu na Tanzania Breweries, inawezamekana Hawa wazungu wanao kujua huku wamepeleka mrejesho kwao lakini hawata
credits.
Umenena vyema Sky Eclat Mrs. AsprinScandinavia walianzisha utaratibu wa kulipa deposit chupa za pombe wakati wa manunuzi. Ukirudisha chupa unapewa hela yako.
Uingereza wanaanzisha mpango huo mwisho wa mwaka huu. Nikiangalia huu ndiyo mpango wetu na Tanzania Breweries, inawezamekana Hawa wazungu wanao kujua huku wamepeleka mrejesho kwao lakini hawata
credits.
hahaa akili zako zimekupwa"""?Na kondomu wanarudishaga zi recycle [emoji32] [emoji124]