Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Scandinavia walianzisha utaratibu wa kulipa deposit chupa za pombe wakati wa manunuzi. Ukirudisha chupa unapewa hela yako.
Uingereza wanaanzisha mpango huo mwisho wa mwaka huu. Nikiangalia huu ndiyo mpango wetu na Tanzania Breweries, inawezamekana Hawa wazungu wanao kujua huku wamepeleka mrejesho kwao lakini hawata
credits.