Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Huwa tunawapiga picha na haya magari wakiwa mjini.

Lakini kiuhalisia uwe mkuu wa mkoa Ruvuma halafu uanze ziara za Nantumbo huko sijui wilaya gani nyingine ambazo miundombinu ya barabara ovyo. Mara umeitwa Dodoma utoke Mwanza usiku wa manane

Au ziara za mawaziri mikoani sehemu zingine mapori, milima, upite kwenye mto; mjomba kama unatumia gari ‘tia maji, tia maji’ kila siku unabadili shock absorbers au unajikuta unatafuta fundi gari maporini na awepo huyo fundi mwenyewe.

Jumlisha na shughuli ya kushinda njiani siku kadhaa au week, surely unahitaji gari comfortable kidogo.

Binafsi sikubaliani na matumizi mengi ya ovyo ila kwenye magari naona logic yake, it is justified.
Elewa hoja iliyo mezani. Hiyo miundombinu ni mibovu kwa sababu ufanisi serikalini ni msogo na vipaumbele vyetu haviko sehemu sahihi ikiwemo ununuaji wa magari haya.

Na uwekezaji wote wa TEHAMA, movement za viongozi ingebidi zipungue sana. Sasa leo hii Waziri Mkuu akiwa na msafara mkubwa anaenda Kigoma anagundua ufisadi kwenye ujenzi wa kibanda cha mlinzi halafu hiyo inakuwa habari inayotrend, logic iko wapi hapo?
 
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Na kama hili ni la rc dom kweli basi ipo siku nitakula nalo misele likiwa na namba zinazosoma T..... CLS.
mkiona lc300 na usajili cls ww simamisha ndinga nikupe lift alafu nikupe madini jinsi ya kuvimba na hayo madude. Hizi ni gari zetu basi tu mda mwingine wananchi hatuna connection za kuyaendesha na hata ukigonga hilo halina shida serikali ipo itatengeneza
 
Bro, this is damn low unless your injecting some sarcasm into this whole thing. Kodi zetu badala ya kufanya mambo ya maana, zina-service maisha ya viongozi. Na kwa idadi ya viongozi, ni pesa nyingi sana zinatumika kuwapa maisha bora viongozi. Inaumiza sana kiongozi wa nchi iliyoendelea anamlipa transport allowance kiongozi, tena kiasi cha kupanda public bus, lakini sisi tunampa mtu gari inayofanya rounds za kazini, sikoni, kanisani/msikitini, sehemu ya starehe, shuleni kwa watoto, nyumbani likizo na mikutanoni!!

Pesa zinazohitajika kufanya maendeleo zinatumika kutunza viongozi wasiolipia hata bills za maji, umeme, kodi ya nyumba wala samani!!
Halafu unakuta sheria ipo inayosema kiongozi huyo atalipwa mshahara na posho zingine bila kulipa kodi!
 
Huwa tunawapiga picha na haya magari wakiwa mjini.

Lakini kiuhalisia uwe mkuu wa mkoa Ruvuma halafu uanze ziara za Nantumbo huko sijui wilaya gani nyingine ambazo miundombinu ya barabara ovyo. Mara umeitwa Dodoma utoke Mwanza usiku wa manane

Au ziara za mawaziri mikoani sehemu zingine mapori, milima, upite kwenye mto; mjomba kama unatumia gari ‘tia maji, tia maji’ kila siku unabadili shock absorbers au unajikuta unatafuta fundi gari maporini na awepo huyo fundi mwenyewe.

Jumlisha na shughuli ya kushinda njiani siku kadhaa au week, surely unahitaji gari comfortable kidogo.

Binafsi sikubaliani na matumizi mengi ya ovyo ila kwenye magari naona logic yake, it is justified.
Kwa Logic hii hizi V8 ziwe kwa mawaziri tuu.

Mkuu wa mkoa hakupaswa kuwa na V8.Maana safari zake nifupi za ndani.
 
The doctrine ya kukopa is the ability to pay na sio kuogopa deni kuongezeka!. Marekani ndio nchi tajiri ya kwanza duniani na ndio inayoongoza kwa kukopa, imekopa hadi China!.

P
Umenikumbusha Suphian wa Twitter 😄 😄 😄 Ghana nao walikuwa wanasema kama wewe
 
Elewa hoja iliyo mezani. Hiyo miundombinu ni mibovu kwa sababu ufanisi serikalini ni msogo na vipaumbele vyetu haviko sehemu sahihi ikiwemo ununuaji wa magari haya.

Na uwekezaji wote wa TEHAMA, movement za viongozi ingebidi zipungue sana. Sasa leo hii Waziri Mkuu akiwa na msafara mkubwa anaenda Kigoma anagundua ufisadi kwenye ujenzi wa kibanda cha mlinzi halafu hiyo inakuwa habari inayotrend, logic iko wapi hapo?
Moja ya watu waliokuwa obsessed na ujenzi wa barabara toka akiwa waziri ni hayati raisi wa awamu ya tano.

Ila mpaka na yeye anaingia madarakani kuna mikutano ilikuwa cancelled akiwa njiani sehemu zingine siku mvua ikinyesha jamaa wanaunga juu kwa juu kisa njia changamoto.

Sasa how the government works moja ya jukumu la wizara ni kuandaa sheria. Kwenye kazi hiyo ni lazima wakajionee hali halisi on the ground kama sheria inawagusa watu. Na kipindi cha bunge kabla ya kuhamia Dodoma safari to and fro za Dar-Dodoma ni frequent.

Kuna kazi administration moja wapo ni kwenda kutatua difficult situation ukiona hadi waziri kafika sehemu jua ilo tatizo ni kubwa locally na pengine la muda mrefu.

Mawaziri pia kwa kushirikiana na makatibu wakuu wana jukumu la kusimamia utaratibu wa ufanyaji kazi na kuona policy za serikali zinavyotekelezwa kujionea mara kwa mara kazi inavyotendeka sio kwa kuadithiwa (hipo hivyo duniani sio Tanzania tu).

So hizo safari zipo na hayo magari yatabaki na ulazima mpaka serikali itakapoweza miundombinu ya barabara Tanzania nzima. Sasa kama njia kuu za kuunganisha mikoa na wilaya mpaka leo awajafanikiwa. Je ukiingia ndani ya hizo wilaya.

Hayo magari ni necessary kwa hali halisi ya kazi zao na njia zenyewe.
 
Enzi za Nyerere walikuwa wananunuliwa Defenders. Bei zake hizo Toyota cha mtoto, wenyewe wamekimbia.

Ndio uhalisia kuna maeneo ya nchi bila ya gari imara ‘off road’ safari yake ni mtihani.
Uko sawa kusema "Walikuwa Wananuliwa Defenders" Waingereza ndio Wanunuaji wakuu....nikimaanisha mengi yalikuwa ya Misaada, mengi yalikuja kwa ajili ya Project zao ma walipomaliza magari hayo mengi yakanyakuliwa Serikalini!

Niongeze tu...Wakati wa Nyerere, ukiona gari zuri ujue hilo limetoka katika Balozi zetu nje... au Zawadi?.
 
Kwa Logic hii hizi V8 ziwe kwa mawaziri tuu.

Mkuu wa mkoa hakupaswa kuwa na V8.Maana safari zake nifupi za ndani.
Unless unadhani mikoa yote ni kama Dar.

Mkoa wa Iringa ata baada ya kuvunjwa na kupatikana njombe bado ni mkubwa kushinda size ya Burundi na Rwanda combined. Jimbo la Isimani la Lukuvi ni kubwa kushinda mkoa wa Kilimanjaro.

Sasa hizo barabara unazijua vizuri especially mkuu wa mkoa ambae sometimes anaingia mpaka vijijini ndani huko; unadhani bila ya usafiri imara kuna shughuli.

Mbona hao donors ata wakileta magari ya misaada kwa walimu sijui maafisa elimu wa wilaya awaleti saloons, bali Toyota 4x4; kwa sababu wanajua hali halisi ya barabara zetu.
 
Kama hizo fedha zipo, why not?.

With all due respect Pascal 600 M for one car😳 let's check out the reality HIYO HELA HAKUNA. Piga mahesabu kuanzia DC, wabunge na wengineo wakitumia GXR bajeti tunayospendi kwenye magari KIASI Gani?

I saw an article from the Citizen where Tanzania is one amoung the countries which spend a lot of money for buying expensive cars to government officials
Hyuy ndugu pascal saa ingine anachokiandika hua kinashangaza
Kwa umri wake pamoja na elimu yake inashangaza kuandika pumba kama hiyo
 
Uko sawa kusema "Walikuwa Wananuliwa Defenders" Waingereza ndio Wanunuaji wakuu....nikimaanisha mengi yalikuwa ya Misaada, mengi yalikuja kwa ajili ya Project zao ma walipomaliza magari hayo mengi yakanyakuliwa Serikalini!

Niongeze tu...Wakati wa Nyerere, ukiona gari zuri ujue hilo limetoka katika Balozi zetu nje... au Zawadi?.
Basi walikuwa na project nyingi sana mie kumbukumbu zangu nyumba za vigogo nyingi zilikuwa na Defenders na ata polisi magari yao yalikuwa Defenders.
 
Moja ya watu waliokuwa obsessed na ujenzi wa barabara toka akiwa waziri ni hayati raisi wa awamu ya tano.

Ila mpaka na yeye anaingia madarakani kuna mikutano ilikuwa cancelled akiwa njiani sehemu zingine siku mvua ikinyesha jamaa wanaunga juu kwa juu kisa njia changamoto.

Sasa how the government works moja ya jukumu la wizara ni kuandaa sheria. Kwenye kazi hiyo ni lazima wakajionee hali halisi on the ground kama sheria inawagusa watu. Na kipindi cha bunge kabla ya kuhamia Dodoma safari to and fro za Dar-Dodoma ni frequent.

Kuna kazi administration moja wapo ni kwenda kutatua difficult situation ukiona hadi waziri kafika sehemu jua ilo tatizo ni kubwa locally na pengine la muda mrefu.

Mawaziri pia kwa kushirikiana na makatibu wakuu wana jukumu la kusimamia utaratibu wa ufanyaji kazi na kuona policy za serikali zinavyotekelezwa kujionea mara kwa mara kazi inavyotendeka sio kwa kuadithiwa (hipo hivyo duniani sio Tanzania tu).

So hizo safari zipo na hayo magari yatabaki na ulazima mpaka serikali itakapoweza miundombinu ya barabara Tanzania nzima. Sasa kama njia kuu za kuunganisha mikoa na wilaya mpaka leo awajafanikiwa. Je ukiingia ndani ya hizo wilaya.

Hayo magari ni necessary kwa hali halisi ya kazi zao na njia zenyewe.
Nimeona Jaji ana LC300.

Plate namba J

Huyu anasafiri kwenda wapi huyu?

Tunaona vitu kwa ground. LC300 zimetapakaa mno. Ni kitu kinanishangaza sana. Usitumie muktadha mmoja kujaribu kuelezea kila kitu.

Hakuna rationalization ya kununua LC300 zaidi ya prestige. There is always a better way.
 
Back
Top Bottom