Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Afadhali umeanza "kama fedha zipo" . Haya magari hata matajiri wanaotupa hiyo mikopo na misaada ni nadra kutumia. Ungejisikiaje ukimuona maskini aliyekuja kukuomba fedha ya chakula akikata wine na whisk kwa ule msaada wako? Halafu anaishiwa tena anarudi tena kukuomba anafanya vivyo hivyo?!!
 
Hizi hasira zingeleta tija sana kama ungeweza kutoa sababu za kwanini watu wanafikiria kuji starehesha kwkaupitia kodi za umma zaidi badala ya kutumia nafasi hizo kuondoa hao ambao wana fight hizo classes
Siwezi.nikajadili kitu ambacho tayari nimesema kipo.nje ya mada....and Rhetorical.

Asante kwa kuona Hasira zangu.
 
Reactions: Ame
Enzi za Nyerere gari nyingi zilikuwa European cars

Ova
 
Basi walikuwa na project nyingi sana mie kumbukumbu zangu nyumba za vigogo nyingi zilikuwa na Defenders na ata polisi magari yao yalikuwa Defenders.
Polisi walikuwa wanatumia VW,land-rovers
Enzi za Nyerere, gari nyingi zilikuwa European cars...
Mjapana alianza kuingia kwa kasi miaka ya 70...kuendelea

Ova
 
Wanapesa za kutumia

Ova
 
Ni hivi kwa perspective ya judges, na wao kama watu muhimu kwenye jamii. Bila ya kupewa lakuchumpa (4x4 lugha ya zamani) wakati mpaka maafisa elimu wanayo serikali inaweza ona kama ime dharau kada ya sheria.

It comes with the territory.
We mwenyewe hapo ukipewa LC 300
Sijui...pigwa kiyoyozi....ofisini kiuoyozi
Unafunguliwa mlango wa gari wakati unatoka,ukiingia unafunguliwa...
Humu hatutakuona tena [emoji1]
Muulize pole×2 anaijua v8

Ova
 
Uliwahi kubahatika kumuonaga balozi
Wa tz Japan ,R.lukindo(RIP)
Mambo ya kitambo lkn,ukuonaga Mercedes benz yake aliyokuwa anatumiaga
Kweli ukipata tumbua tu
Ova
No sikuwahi kubahatika kuona gari ya Balozi yoyote ukiachilia kusikia tuu gari aliyopata nayo ajali Balozi Mushi. Hebu tueleze tuu hiyo ya Balozi Lukindo.
P
 
Hii gari ina 800 cylinders na 100 pistons

[emoji115][emoji115]

Unafahamu ulichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…