Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Afadhali umeanza "kama fedha zipo" . Haya magari hata matajiri wanaotupa hiyo mikopo na misaada ni nadra kutumia. Ungejisikiaje ukimuona maskini aliyekuja kukuomba fedha ya chakula akikata wine na whisk kwa ule msaada wako? Halafu anaishiwa tena anarudi tena kukuomba anafanya vivyo hivyo?!!
 
Hizi hasira zingeleta tija sana kama ungeweza kutoa sababu za kwanini watu wanafikiria kuji starehesha kwkaupitia kodi za umma zaidi badala ya kutumia nafasi hizo kuondoa hao ambao wana fight hizo classes
Siwezi.nikajadili kitu ambacho tayari nimesema kipo.nje ya mada....and Rhetorical.

Asante kwa kuona Hasira zangu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Uko sawa kusema "Walikuwa Wananuliwa Defenders" Waingereza ndio Wanunuaji wakuu....nikimaanisha mengi yalikuwa ya Misaada, mengi yalikuja kwa ajili ya Project zao ma walipomaliza magari hayo mengi yakanyakuliwa Serikalini!

Niongeze tu...Wakati wa Nyerere, ukiona gari zuri ujue hilo limetoka katika Balozi zetu nje... au Zawadi?.
Enzi za Nyerere gari nyingi zilikuwa European cars

Ova
 
Basi walikuwa na project nyingi sana mie kumbukumbu zangu nyumba za vigogo nyingi zilikuwa na Defenders na ata polisi magari yao yalikuwa Defenders.
Polisi walikuwa wanatumia VW,land-rovers
Enzi za Nyerere, gari nyingi zilikuwa European cars...
Mjapana alianza kuingia kwa kasi miaka ya 70...kuendelea

Ova
 
Nimeona Jaji ana LC300.

Plate namba J

Huyu anasafiri kwenda wapi huyu?

Tunaona vitu kwa ground. LC300 zimetapakaa mno. Ni kitu kinanishangaza sana. Usitumie muktadha mmoja kujaribu kuelezea kila kitu.

Hakuna rationalization ya kununua LC300 zaidi ya prestige. There is always a better way.
Wanapesa za kutumia

Ova
 
Ni hivi kwa perspective ya judges, na wao kama watu muhimu kwenye jamii. Bila ya kupewa lakuchumpa (4x4 lugha ya zamani) wakati mpaka maafisa elimu wanayo serikali inaweza ona kama ime dharau kada ya sheria.

It comes with the territory.
We mwenyewe hapo ukipewa LC 300
Sijui...pigwa kiyoyozi....ofisini kiuoyozi
Unafunguliwa mlango wa gari wakati unatoka,ukiingia unafunguliwa...
Humu hatutakuona tena [emoji1]
Muulize pole×2 anaijua v8

Ova
 
Uliwahi kubahatika kumuonaga balozi
Wa tz Japan ,R.lukindo(RIP)
Mambo ya kitambo lkn,ukuonaga Mercedes benz yake aliyokuwa anatumiaga
Kweli ukipata tumbua tu
Ova
No sikuwahi kubahatika kuona gari ya Balozi yoyote ukiachilia kusikia tuu gari aliyopata nayo ajali Balozi Mushi. Hebu tueleze tuu hiyo ya Balozi Lukindo.
P
 
We jamaa wakati akili zinagaiwa ulikuwa kwa Mpalanger ukipalanga!

Hii gari ina 800 cylinders na 100 pistons mafuta ya kuiwasha tu ni budget ya IST ya miezi sita! Reserve yake gari inatoka Dar hadi Dom!

In short wewe unawaza gharama za maintenance ambayo ni mara moja tu kwa mwezi wakati sisi tunawaza

1. Sisi tunawaza viongozi wetu wengi ni washamba wamezaliwa bush wanatafuta sifa kwa kununua magari ya bei mbaya kwa kodi za maskini.
2. Nchi inapoteza mabilioni kwa kununua magari makubwa pesa ambazo zingefanya mambo mengine ya maana zaidi
3. Bei ya kuzinunua hizo gari ni kubwa mno ila fikra zetu haziko huko
4. mafuta ya kuziendesha hizo gari ambazo ziko nchi nzima ni pesa nyingi mno ya kujenga Nyerere Dam kumi
5. Our thinking is corrupt , brainwashed and primitive!
6. Nchi hii imejaa wajinga wengi maisha magumu ajira hakuna na rasilimali zao zinachezewa mbele ya macho yao ila hawaoni!
7. Kizazi Cha majizi kimebakiza 30 to 40 years mengi yanayopenda gari hizi ni mazee yalizaliwa bush na yako jioni Sasa muda wa vijana kula nchi yao uko jirani

What next?
Hii gari ina 800 cylinders na 100 pistons

[emoji115][emoji115]

Unafahamu ulichoandika?
 
Back
Top Bottom