Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Tuanzie tu kuvaa!! Utakuta mzungu kavalia suti ya kitambaa cha kawaida,ila Mwafrika anapiga suti ya bei mbaya japo kipato chake ni kidogo. Mjerumani Akija hapa anashangaa BMW zinavyotumika.
 
It is impractical for some posts in Tanzania to have any car other than 4x4 given the amount of travelling involved.

Na hawa watu wanatembea leo yupo huku kesho kule.
Huko wanapoenda hakuna economic benefits zozote zinazozalishwa zaidi ya kutafuta per diems kwa nguvu.

Waziri anasafiri kilomita 800 kwenda kukagua ujenzi wa darasa, kazi ambazo katibu kata anaweza ifanya.

Mawaziri wanajipa roles ambazo haziendani na hadhi zao. Kuzurura bila sababu zozote.
 
Hata CHADEMA ikiingia madarakani hali itakuwa zaidi ya hii. Misafara yao ni ya magari ya kifahari tupu... wakiwa na access na hazina watafanya kufuru.
 
Kuna kazi hazihitaji top brass ya serikali kuwepo.

Ni vile wanatafuta posho kwa nguvu.
 
Kukagua utekelezaji wa sera ni jukumu la serikali iliyo madarakani sio mtu mwingine yeyote,

Na serikali ni raisi na baraza lake la mawaziri, so hizo safari zitakuwepo tu.
Watumishi kwenye hizo halmashauri sio serikali?

Kwanini wao wasiende kufanya hizo kazi?
 
Watumishi kwenye hizo halmashauri sio serikali?

Kwanini wao wasiende kufanya hizo kazi?
Technically serikali ni raisi na baraza la mawaziri. Waliobaki ni administrators tu. Kwa ivyo kuna umuhimu wa wahusika kujua kinachoendelea mpaka chini kwa kujionea wenyewe.
 
Tuanzie tu kuvaa!! Utakuta mzungu kavalia suti ya kitambaa cha kawaida,ila Mwafrika anapiga suti ya bei mbaya japo kipato chake ni kidogo. Mjerumani Akija hapa anashangaa BMW zinavyotumika.
Alafu mbaya zaidi wanaofanya kazi kwenye hayo makampuni hawayanunui daah hii noma asee
 
Magufuli ni mengi aliyoyaondoa au kupunguza lakini bado aliitwa mshamba na limbukeni,mfn alipopiga Safari za nje ambazo zinameza mamilioni ambayo hayaonekani aliitwa mshamba,akazuia warisha na semena kwenye maoteli ya kifahari, wakasema ana roho mbaya, hata hili la magari nalo angesemwa vibaya,ni kipi ambacho Magufuli kafanya watu wakamsifia, Stendi ya Mbezi yenyewe niliona riport ya CAG ikisema sitend hapo ilipo ilijengwa kimakosa,kila uwamuzi wa Magufuli alioufanya Magufuli ulionekana wa hovyo kwa mjibu wa watanganyika.
 
Huna akili
 
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Viongozi wa Tanzania wanatembelea magari ya bei kubwa kuliko viongozi wa uingereza, na ni haohao waingereza wanaipa misaada Tanzania japo nchi yao ni masikini isipokuwa wana jeuri ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…