Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

We jamaa wakati akili zinagaiwa ulikuwa kwa Mpalanger ukipalanga!

Hii gari ina 800 cylinders na 100 pistons mafuta ya kuiwasha tu ni budget ya IST ya miezi sita! Reserve yake gari inatoka Dar hadi Dom!

In short wewe unawaza gharama za maintenance ambayo ni mara moja tu kwa mwezi wakati sisi tunawaza

1. Sisi tunawaza viongozi wetu wengi ni washamba wamezaliwa bush wanatafuta sifa kwa kununua magari ya bei mbaya kwa kodi za maskini.
2. Nchi inapoteza mabilioni kwa kununua magari makubwa pesa ambazo zingefanya mambo mengine ya maana zaidi
3. Bei ya kuzinunua hizo gari ni kubwa mno ila fikra zetu haziko huko
4. mafuta ya kuziendesha hizo gari ambazo ziko nchi nzima ni pesa nyingi mno ya kujenga Nyerere Dam kumi
5. Our thinking is corrupt , brainwashed and primitive!
6. Nchi hii imejaa wajinga wengi maisha magumu ajira hakuna na rasilimali zao zinachezewa mbele ya macho yao ila hawaoni!
7. Kizazi Cha majizi kimebakiza 30 to 40 years mengi yanayopenda gari hizi ni mazee yalizaliwa bush na yako jioni Sasa muda wa vijana kula nchi yao uko jirani

What next?
Zuga hata engine ya articulate dump truck haina piston hizo 🤠🤠
 
Nipo napita Hapa Karibu na shule ya msingi moja hivi Naona Wanafunzi wanajisaidia nje wavulana kwa wasichana

Nikasema hebu niangalie tatizo nini, Nakuta matundu 12 na ni machafu kiasi cha wao wenyewe kuhofia kuingia ndani wasijepata magonjwa

Inasikitisha kwakweli
Hao watoto wazembe siku hizi hwana zamu za kusafisha vyoo? Au vimejaa
 
We mwenyewe hapo ukipewa LC 300
Sijui...pigwa kiyoyozi....ofisini kiuoyozi
Unafunguliwa mlango wa gari wakati unatoka,ukiingia unafunguliwa...
Humu hatutakuona tena [emoji1]
Muulize pole×2 anaijua v8

Ova
I prefer to ride my bicycle sio mazur hayo.ukipigwa na ubarid toka home mpaka oficen.unapanda lift ngaz hupand.unafika unapigwa na a.c tena saa saba unaenda kula unarud na soda yako unapiga piga kaz jion unarudishwa na gar a.c juu ukifika unakula wali unawasha a.c.unaenda kulala
No hujaona wazir mkuwe wa Denmark anaend ofisn nq baskel
 
Kwa kiuhalisia, shida ni wivu.
Kwa kiuhalisia, shida ni porojo.
Kwa kiuhalisia, shida ni Uwongo wa Kupandikiza.

Hayo mabilioni hata hawa manabii uchwara kwa mabakuli yao tu....V.800??? Kibao. Sembuse serikali.

Mbadala unaoletwa ni wa kukejeli, wa kuduwaza kama sio kudumaza. Porojo tu

Inanishangaza, kuona baadhi ya wanahudhuri na viherehere vyao, Ati, kwa sababu Hao Viongozi ni Masikini, wametoka vijijini, washamba n.k basi V.8 haziwafai- Ni wivu tu huo.

Wanavyo linganisha na kutofautisha-mtu au Kiongozi katoka wapi; na Gari anayostahili tena kwa lugha ya ukimbari ni karaha tupu! Wivu tu huo tena wa kukaripiwa. Wanapeana dole tupu Aaati?

Mwisho wa siku hakuna anayeleta mbadala bila kejeli au mbadala usio na kejel au dhihaki- halafu ndio unategemea Serikali iwatilie maanani? Tunapandikiza chuki tu

Kama ni vya kujadiliwa, viwe vinajikita kwenye mchakato mzima wa upatikanaji wa hayo Magari au? Mie naona humo ndio kuna hitilafu.

Kuna jamaa amesema miaka ya nyuma tulikuwa na 'European cars' Je anajua kwa nini ilikuwa rahisi kupatikana kwa magari hayo? Unajua Tanganyika motors? Unajua kwa nini Serikali ilitumia TM? Kwanini walibadilisha?
Eniweyi nimetupia tu hilo mtajijiju.

Kiuhalisia hakuna Serikali isiyokuwa na Matumizi- Yeyote ile, hata NGO's

Kiuhalisia inakuwa vizuri Serikali kujitathmini kila baada ya mda kuona kama kuna ulazima wa kuwa na hayo Magari yenye, kama wengi wanavyodai ni ya Kifahari mno na wala hayamfai.mtu aliyotoka Kijijini. Pathetic fikra gani hizo???

Kitaeleweka.
Yaani Blangeti Kubwa Afrika....halafu unaonyeshwa Toyota ya R.C Tanzania wapi na wapi?

Nape tunakuomba wewe na Kamati yako mfanye kazi kwa Haraka. Najua unalo Kabrasha la kulimwaga Davos.

Mtujuze
 
Wewe ona wivu mwenzako anakula maisha
Live updates gari ipo viunga vya arusha Phillips muda huu
 
kuna watu wanashindwaga kumuelewa paskal..... ili kumuelewa inabidi at least ufike form six [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
he speaks the opposite of what he believes (mnaisemaje kwa kiingereza kizuri vile)
 
Hili nalo ni tatizo kwa awamu zote magari ya kifahali; ningekuwa mimi ningetumia Landover 110 Defender kwa watumishi wote wa umma. Hutaki nunua la kwako ila tutakupatia dereva wetu.

Defender mpya kabisa ya 2022 ni $50,000 = Mil 110m.
Pesa ya kununulia hizo Defender 6 inakwenda kununua V8 moja pekee !!
 


Baada ya kuyapiga picha mjini, kuna upande mwingine hayo Magari yanaenda. Njia mvua ikinyesha mtihani. Hapo walikwama kwa masaa mawili.

Ukiweka magari ambayo siyo imara hakuna sehemu watafika kwa wakati na udhani kama hayo magari yenyewe yatamudu.

Kwa kuangalia tu hizi ziara zao haya magari ya viongozi hasa mawaziri sitoshangaa kabisa kama kwa mwaka yanapiga zaidi ya 10000 miles +.

Kasheshe uwe una ziara ya week halafu gari sio comfortable na hayo makongoro ya njiani sio muda unatengua kiuno na safari yenyewe inakuwa ngumu ukifika kwenye hiyo ziara ata kwenye kazi inaweza kuwa shida.

Halafu hilo gari alifiki tsh 600 million
Landcruiser mkonga inafanya yote hayo tena zaidi ya hapo. Mpya 0 km ni mil 200

Hata hivyo nakubaliana na kutumiwa V8
 
Back
Top Bottom