Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi).
Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k
Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili kutupunguza speed za maendeleo ili tuendelee kuwa mazwazwa na kuwategemea wao.
Mfano, Haiwezekani wewe mmatumbi utetee unyonyaji wa mwarabu apewe raslimali zote eti kisa ni muislam, na akionekana yeyote anapinga kwa hoja unamuona kafiri.
Waafrika masikini wana uwezo wa kuchanga kidogo kidogo mpaka kujenga msikiti na kanisa kubwa sana la mabilioni ili siku nyingine waje kupeleka pesa ya maombi, kuomba kazi na pesa. Hivi kweli tuna akili?
Kama tungefanya hivyo kuchanga kidogo kidogo na kutengeneza viwanda vidogo vidogo tungekuwa mbali sana kimaendeleo na watoto wetu wasinge angaika kutafuta ajira mtaani.
Kwa asilimia kubwa haya makanisa na misikiti tumejenga kwa nguvu zetu wenyewe, tubadilishe majengo hayo kuwa masoko na viwanda vya uzalishaji.