Afrika vs India

Afrika vs India

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Watu
Afrika ina watu bilioni 1.39 wakati India ina watu 1.42 bilioni.

Eneo
Eneo la Afrika ni kilomita za mraba milioni 30.37 na eneo la India ni kilomita za mraba 3.28 milioni. Afrika ni kubwa kama mara 10 ya India.

Uchumi, GDP nominal
Uchumi wa Afrika ni dola trilioni 2.96 wakati ule wa India ni dola trilioni 3.73

Pato la watu
Wastani wa pato la mtu wa Afrika ni dola 2,180 wakati wastani wa pato la mtu wa India ni dola 2,612.
 
Kulinganisha Bara na Nchi huo ni Upumbavu wa hali ya juu... India ni nchi, Afrika ina nchi 54 unalinganishaje maeneo haya.... Linganisha India na Tanzania au India na nchi nyenzake
 
Back
Top Bottom