Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Zanzibar ndo ulikua Mji wa kwanza kutumia Taa za umeme Afrika na Tanganyika kwa ujumla
Moja kati ya stori ambayo watu wengi hawajui kuhusu Maendeleo kati ya Tanganyika na Zanzibar basi Zanzibar ilikua kati ya Mji wa kwanza kupata Maendeleo kabla ya Tanganyika ambapo baadae ziliungana na kuwa Tanzania.
Afrika ilikua inaoongoza kwa kiza, Zanzibar ilikua Mji wenye kiza kizito Mnoo, kwani nje ya pwani kulikua na misitu minene ya kitropiki na ukungu na mvua na wingi wa mimea ambayo inaweza kuzima mwanga hata katikati ya mchana.
Miaka ya 1870 Taa za mafuta zilitumika sana katika nyumba na majengo mengi ya umma Nchini Zanzibar, ambapo miaka hiyo Taa za mafuta ziliweza kuweka hata pembezoni mwa barabara za mjini ikiwemo Stone Town.
Miaka kumi baadae ilikua mwaka 1880 Taa zenye kutumia umeme ziliweza kuagizwa toka nje zilianza kupatikana Zanzibar , mara moja zilikubaliwa na wasomi kama ishara kamili ya usasa, utajiri na ustaarabu.
Ndipo sultan akaamua kupanga kituo cha kwanza cha umeme kijengwe karibu na jumba la Palace la bandari.
Kituo hicho kilizalisha kilowati mia chache tu za nguvu lakini Sultani haraka akawawekea matumizi ya kuangazia majengo mengi ya kifalme iwezekanavyo kuweza kutumia teknolojia hii.
Mnara wa taa ambao ulisimama mbele ya kasri lake ulipambwa kwa balbu nyingi za rangi za mapambo hivi kwamba mabaharia kutoka magharibi walianza kuiita "mti wa Krismasi wa Masultani." Baada ya Vita ya mwaka 1896 uzalishaji wa Taa zenye kutumia umeme ulikua kwa Kasi na kupeleka ikulu kuongez
ewa Mwanga.