I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Na CCM kwa Magu itategemea AMEAMKAJE SIKU HIO.Kama tulikuwa wote usiku wa AFRIMMa
Like nikuAdd
Ha ha ha hah
Hongera ZUCHU,
Ila huko WCB una mtihani sana kwa kupata tuzo nyingi,,bila ya boss wako kuwamo kwenye list ya ushindi.
Yaani wanajiparuza kumtaja mondi ila walikuwa wanakulenga wew.
Ni sawa na chadema bila mbowe hakuna kuingia bungeni.
Kama usipopiga wew sio kwamba wengine hawapiga kuna mashabiki die hard fans wanakesha usiku kucha kwa kazi hiyo.Swali konki Sana , faida ya hzi tuzo ni nn au ni only about fame
Ongera - HongeraOngera kwao
Asante kwa kusahihishaOngera - Hongera
Hiv kuhusu kampeni yenu ya kutowapigia kura wasanii wa CCM imeishia wapi?Ongera - Hongera
Hujanielewa....!! Nimeuliza wasanii wanafaidika nin na hzi tuzo , kuna fungu wanapata la pesa, ?? Au kuna kitu wanapata , au ni heshima ya kujulikana (fame) ndo nataka nifahamu....kama utakuwa hujanielewa na hapa basiKama usipopiga wew sio kwamba wengine hawapiga kuna mashabiki die hard fans wanakesha usiku kucha kwa kazi hiyo.
Inchi 1Β½Zimefanyikia inchi gani?