AFRIMMA AWARDS 2020: Hongereni wasanii wetu Diamond, Zuchu na Nandi kwa kutuwakilisha vilivyo watanzania

Hiv kuhusu kampeni yenu ya kutowapigia kura wasanii wa CCM imeishia wapi?
Mkuu, ni kampeni ipi CHADEMA waliwahi kufanikiwa?

[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha ile kampeni yao ya kuvunja laini za voda iliyongozwa na kina Lema, Lisu na viongozi wao wote, kisha siku walipopigwa gerezani wakatoa namba zao za voda kwa ajili ya kupokelea michango..!
 

Sema hongera wasanii wa CCM.
 
wamewakilisha CCM
 
Afrimma nazo ni Tuzo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…