Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hawa jamaa wanafadhiliwa na nani?Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.
Kutokana na uhalisia wanasema kweli demokrasia iko kwenye macho ya anayetazama. Yaani demokrasia sio tena suala la kufuatwa kwa principles bali ni namna mtu anavyoona inafaa.
Suala la Tanzania kuwa na matokeo tofauti ni jambo la.muda mrefu sana ambalo linaweza kumaanisha kuwa watu hawajui kuhusu demokrasia au siasa.View attachment 3471024
AbdulHawa jamaa wanafadhiliwa na nani?
Why no Rwanda na Burundi? Sudan zote?
Uongo uliotukuka,hilo linawezekana tu kwa juhudi za kuzitoa taarifa potoshi ku favour hayo matokeo!Katika hali ya kustaajabisha African Media Barometer imefanya survey inayoonesha kuwa watz wanaamini wana demokrasia.