Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
Mimi na masela wangu wa Form slii B tukila bata nyumbani kwa mwalimu bwajoko baada ya kumaliza pepa za temino
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya siku nyingi inaanza kuzungurushwa na kuzungumziwa tenaMimi na masela wangu wa Form slii B tukila bata nyumbani kwa mwalimu bwajoko baada ya kumaliza pepa za temino![]()
Anakula ujana!Hivi le akili kubwaz ashawai toa utetezi wowote kuhusiana na hii picha.yaan mie am still on my twenties (late 20s)lakini hata bure siwezi enda kwenye hizi show za watoto.