Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Baada ya Miaka 125 Siri ya Utengenezaji wa Coca-Cola imejulikana ina Ulevi ndani yake (Alcohol 8 oz) Kila kitu kibaya kilichojificha mwisho wake hudhihirika kabisa. Haya tena wale wanywaji wa Coca-Cola wajuwe kuwa wanakunywa Coca-Cola yenye ulevi ndani yake kazi kwenu mnaopenda Coca-Cola mMchanga wa Pwani huo mimi simo.