After 17 years, Bennifer are back in Town

Binafsi nadhani JLo sio mtu wa kutulia na mtu mmoja kwa muda mrefu. Ndoa haimfai, na hivi alishaolewa mara nne atakuwa anaona hakuna jipya kwenye ndoa.
Bora hata angekuwa anadumu sasa[emoji849][emoji849]

Labda kwa Marc Anthony

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaah pale Kuna mpaka chalii anaitwa Casper aliweka chata lake[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hebu niambie kile kikaka kidansa chake...watu walikuwa wanakicheka sana, na wanakipa onyo kuwa awe mjanja ampige hela asepe huyo Bibi atamtimua, kikajifanya kimefall inlove, kinampelekea moto sio wa kitoto ili kisiachwe[emoji16][emoji16]..

Mwisho wa siku mlijionea alivyotolewa baruuu[emoji16]


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama.unataka kujua kuwa Ben affleck Ni chick magnet

Tafuta muvi yake moja hivi ya Gone girl huyu Jamaa anaweza hata mtongoza hata Kamala Harris na asichomee



Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
ila yule manzi alimchezea cheusi chekundu jamaa akaonekana amemuua kumbe demu kasepa zake kamuachia msala
 
Hahahahahaha kwa kweli JLO kundi la umalaya yumo ila mimi nilitegemea kama kurudiana basi ingekuwa P Diddy maana alikuwa anamsifia sifia mitandaoni kwamba kapendeza na JLO alikuwa anafurahia sana, yule Bennifer alikuwa nyuma ya pazia ndiyo sababu wengi wameshangazwa kwani walidhani hawakuwa na mawasiliano kumbe yalikuwepo ya siri, JLO anapenda sana kuolewa hivyo kama bado anataka kuolewa basi Bennifer itakamilisha kile kilichoshindikana 2003.
 
Hilo la mbususu yake kuwa tamu kupita kiasi pia labda lina ukweli wake maana maex wote bado wanataka kumvua pichu tena na Alex bado anasubiri warudiane!!! Mapenzi haya MWE!
 
Nadhani wameachana kwa ugomvi mkubwa lakini ugomvi ulianza baada ya mrembo mmoja wa kizungu kuweka hadharani kwamba A Rod alimfuata kwenye DM na kudai hamjui kiasi hicho zaidi ya kumuona kwenye TV na magazeti na hawajawahi kukutana. Ugomvi wa chini chini ukaendelea hadi wakaamua kwenda kuwaona relationship councillors ili wawasaidie kurudisha penzi lao kwenye amani lakini haikusaidia.
JLo ameingia kwenye mahusiano mapya mapema mno, she needed some time after her break up with A-Rod to heal. Asipokuwa makini ataumia tena.
Why the rush though??
I like her; I don't want to see her broken hearted again.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Arudiane na P. Didy?? Acha masihara bora huyo Ben kilaza mara mia..

Sasa akirudiana na Diddy yule haoi/ hafungi ndoa sijui lina masharti lile libaba[emoji848] Wakati JLo anapenda ndoa kama nini sijui ( na kutunza ndoa zero)...huyo watapasha kiporo, then atasepa kwa Casper amuonje, then ampatize Criss Judd, Ojan noa, aende kwa muhuni Drake ( maana mission incomplete )


Akimalizana na hao ndo anaendelea kuzuga na kilaza (Ben Affleck)..

Mwishoni kama October ataibuka na kaserengeti boy hamkajui, atajidai anafunga nako ndoa...kiufupi yule ndo umalaya wake huo mpaka anaaga dunia[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kibibi kinachojipenda na bado kinapenda sana kupenda na kupendwa na pia kupenda mb.ooo
Ahsante kwa taarifa, Ila Lopez ni kibibi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…