witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Bora hata angekuwa anadumu sasa[emoji849][emoji849]Binafsi nadhani JLo sio mtu wa kutulia na mtu mmoja kwa muda mrefu. Ndoa haimfai, na hivi alishaolewa mara nne atakuwa anaona hakuna jipya kwenye ndoa.
Labda kwa Marc Anthony
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app