After 17 years, Bennifer are back in Town

After 17 years, Bennifer are back in Town

Nilimuonea huruma sana jinsi alivyokuwa anamuomba mitandaoni arudi. Ni ushahidi tosha kwamba pesa si kila kitu kwenye penzi. Akaunganisha na mzungu wala haikupita muda mrefu mzungu akamjaza mimba.
P. Didy nae wanawake huwa wanamkimbia... Cassie alikula kona ghafla

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hilo la mbususu yake kuwa tamu kupita kiasi pia labda lina ukweli wake maana maex wote bado wanataka kumvua pichu tena na Alex bado anasubiri warudiane!!! Mapenzi haya MWE!
Anaoneka tu ni mutamu, huoni ni mtu mzima ila mikono na nyama hazijashuka.
 
Diddy saivi atakuwa anakula Instagram models wenye njaa [emoji1]

Ukiwapa dola 2500 unakula mzigo saafi siku Ingine ukiwapa trip za Bahamas ,Maldives wakipost insta wao wanaridhika
Kwa kuwa umemuona Diddy ni maskini sana au?
 
Back
Top Bottom