Kimaa cha mani
Member
- Jan 16, 2014
- 41
- 26
Mimi napenda mtiti wa whitewalkers shenzi kabisa wale mabwege wanakutia hamasa sio ya dunia hii, kwanza wanawaua kisha wanawafufua nyambafu ndomaaana walisema lipi bora tuungane nao au wawe turned halafu mtiti uendelee? Kulikua na spoilers walidai mansion stark anarudi sijui hyo sita atakuwepo? Jonsnow my favorite actor because the guy is not abinded with any rule yaaani mtoto wa night watch kamshangaza kahaba yule hahahaa