Every time you open your mouth you confirm yourself the fool you're thought to be.
When building a road, what comes after the other? Laying of the tarmac or installing street lights?
If your feeble brain can answer that, then you should delete this thread before further embarrassment.
Lebanese firm ndio ilijenga pipeline. Hata hujui anything about Kenya na unajifanya eti wewe ni expert wa Kenyan Affairs.
Naona umefurahi sana kwa maumivu ya jiraniππππππππππ
Jirani kwa maumivu hio ni kawaida kazoea nilishangaa juzi munatokwa na makamasi mukifkiri kichwa cha treni ni cha tanzania kumbe ni cha yapi markeze kwa ajili ya shugli zake ππππNaona umefurahi sana kwa maumivu ya jirani
Nyinyi hamtawahi kuwa na bullet train. Mlichoagiza ni normal electric train sio bullet train, tatizo nyie washamba hamuezi elewa.Jirani kwa maumivu hio ni kawaida kazoea nilishangaa juzi munatokwa na makamasi mukifkiri kichwa cha treni ni cha tanzania kumbe ni cha yapi markeze kwa ajili ya shugli zake ππππ
Ila wakenya hapo ndipo niliwaona bullet electric train munaiogopa sana na hamuna amani kabisa
Na siku ikiingia jiandae mm nitakutag kaa mkao wa kula tuππππNyinyi hamtawahi kuwa na bullet train. Mlichoagiza ni normal electric train sio bullet train, tatizo nyie washamba hamuezi elewa.
Ukishasema ni electric train inatosha sana kuwa ya kiwango cha juu zaidi ya mitungi yenu.. Hata kichwa kispokua ka bullet si tunaangalia speed ankooNyinyi hamtawahi kuwa na bullet train. Mlichoagiza ni normal electric train sio bullet train, tatizo nyie washamba hamuezi elewa.
Treni yetu itakwenda speed 160 to 200km per hr lazma iwe bullet bro huwez peleka speed ya 200km per hr alaf iwe flat mbele ita create high dragUkishasema ni electric train inatosha sana kuwa ya kiwango cha juu zaidi ya mitungi yenu.. Hata kichwa kispokua ka bullet si tunaangalia speed ankoo
If you hear Bongolalas giving technical advise and criticism on Kenyan issues you may think they are a first world industrial nation...Every time you open your mouth you confirm yourself the fool you're thought to be.
When building a road, what comes after the other? Laying of the tarmac or installing street lights?
If your feeble brain can answer that, then you should delete this thread before further embarrassment.
To create loss of billions is better than no deals, nenda ukapimwe mkojo weweππbetter than no deals
Blind patriotism ni pale unapotetea kila kitu bila msingi. Sasa huyu MD amekamatwa kwa sababu ya corruption, inawezekana ikawa ni hela ya leak detection system ndio itamfunga...
Ndugu naomba ujifahamishe tofauti ya bullet train yaani Shikansen (made in Japan 1964) na electric train ya kawaida ambayo imetumika Europe zaidi ya miaka mia moja na hata muundo wake ni wa kawaida sio kama muundo wa bullet train. Africa ina bullet train miwili tu, ile ya Senegal na ile ya Morocco. Hata ukiangalia kichwa ya train ilivyochongwa kweli utafahamu ni bullet train. Ethiopia nao wana electric train ya kawaida ambayo kichwa ni flat na haujachongwa mchongo wa bullet train na pia speeed ni kati ya 120 km/h hadi 160 km/h. Bullet train nayo speed yake kwa kawaida huwa zaidi ya 200 km/h. Yenu ni kama ya Ethiopia kwa sababu itakuwa ya 160 km/h. Duniani hamna bullet train inayokwenda kwa speed ya chini namna hiyo. 160 km/h ni speed ya chini mno kwa bullet train. Lakini nyie washamba, nawaelewa tu.Na siku ikiingia jiandae mm nitakutag kaa mkao wa kula tuππππ
Kichwa hakitakuwa cha bullet, wacha kupotosha watu. Tunaeza bet saa hii tuone kama ikiwasili bandarini itafanana na Shikansen za Japan? Yenu itafanana tu kama zile za Ethiopia, normal electric train. Niko tayari kubet elfu tano pesa ya Kenya.Treni yetu itakwenda speed 160 to 200km per hr lazma iwe bullet bro huwez peleka speed ya 200km per hr alaf iwe flat mbele ita create high drag
Sijakataa kwamba electric yenu ni kali kushinda diesel yetu, hiyo ni kweli kwamba electric siku zote ipo juu ya diesel lakini msiwe na nyege sana ya kuita kaelectric kenu bullet train a.k.a Shikansen. Hamjui maana halisi ya bullet train nyie.Ukishasema ni electric train inatosha sana kuwa ya kiwango cha juu zaidi ya mitungi yenu.. Hata kichwa kispokua ka bullet si tunaangalia speed ankoo
Vitu vingine unabidi ucheke tuNaona umefurahi sana kwa maumivu ya jirani
Sasa ndugu wewe ndio unaenunua hvo vichwa au ni sisi ndio tunanunua mbona unakua kama zombie hviππππNdugu naomba ujifahamishe tofauti ya bullet train yaani Shikansen (made in Japan 1964) na electric train ya kawaida ambayo imetumika Europe zaidi ya miaka mia moja na hata muundo wake ni wa kawaida sio kama muundo wa bullet train. Africa ina bullet train miwili tu, ile ya Senegal na ile ya Morocco. Hata ukiangalia kichwa ya train ilivyochongwa kweli utafahamu ni bullet train. Ethiopia nao wana electric train ya kawaida ambayo kichwa ni flat na haujachongwa mchongo wa bullet train na pia speeed ni kati ya 120 km/h hadi 160 km/h. Bullet train nayo speed yake kwa kawaida huwa zaidi ya 200 km/h. Yenu ni kama ya Ethiopia kwa sababu itakuwa ya 160 km/h. Duniani hamna bullet train inayokwenda kwa speed ya chini namna hiyo. 160 km/h ni speed ya chini mno kwa bullet train. Lakini nyie washamba, nawaelewa tu.
Kichwa hakitakuwa cha bullet, wacha kupotosha watu. Tunaeza bet saa hii tuone kama ikiwasili bandarini itafanana na Shikansen za Japan? Yenu itafanana tu kama zile za Ethiopia, normal electric train. Niko tayari kubet elfu tano pesa ya Kenya.
Na bullet train pia hutakataa pia subiri tu naona hamulali na mukilala munaota sgr tanzaniaπππππSijakataa kwamba electric yenu ni kali kushinda diesel yetu, hiyo ni kweli kwamba electric siku zote ipo juu ya diesel lakini msiwe na nyege sana ya kuita kaelectric kenu bullet train a.k.a Shikansen. Hamjui maana halisi ya bullet train nyie.
Sawa.Haya tusubiri kwan tatizo liko wapi na mm nitakutag kila pembe we kaa mkao wa kula